Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Utaisubiri hiyo serikali ya hao vibwengo mpaka lini?😳Serikali ya Lissu na Heche haitakuwa na mbwembwe za kijinga namna hii

Wakati wa Mungu upo.Utaisubiri hiyo serikali ya hao vibwengo mpaka lini?😳
Sasa nje ni kwa moto. Aende wapi?? Kizimkazi??Huko Namtumbo Rais amezindua mradi wa ka kiwanda cha kuchenjua Uranium kama mashine za kusaga za vijijini. Mradi ambao kiuhalisia ulipaswa hata kuzinduliwa na Diwani wa Kata husika.
Hata hao wawekezaji tu wanaonekana ni wapigaji na wajanja wajanja tu ambao hawana hili wala lile. Hata kwenye maelezo wanayotoa hawako clear hicho kiwanda chao cha kuchenjua Uranium kitalinufaishaje Taifa?
Kituko zaidi ukitaka kujua mradi huu ni usanii watu wanachenjua Uranium alafu hawana hata protective gears ukizingatia madini haya yanavyofahamika kwa kuwa na mionzi mikali.
No Reforms No Election ✊️ ✌️
View attachment 3424816
Mantra ni kampuni ya wapi? Ukilijua Hilo utajua Nini kinafanywa!!!wake upHuko Namtumbo Rais amezindua mradi wa ka kiwanda cha kuchenjua Uranium kama mashine za kusaga za vijijini. Mradi ambao kiuhalisia ulipaswa hata kuzinduliwa na Diwani wa Kata husika.
Hata hao wawekezaji tu wanaonekana ni wapigaji na wajanja wajanja tu ambao hawana hili wala lile. Hata kwenye maelezo wanayotoa hawako clear hicho kiwanda chao cha kuchenjua Uranium kitalinufaishaje Taifa?
Kituko zaidi ukitaka kujua mradi huu ni usanii watu wanachenjua Uranium alafu hawana hata protective gears ukizingatia madini haya yanavyofahamika kwa kuwa na mionzi mikali.
No Reforms No Election ✊️ ✌️
View attachment 3424816
Endelea kujiaminisha mimi sipo huko😏Wakati wa Mungu upo.
Hii nchi walishatufanya wapumbavu sanaGharama za kumpeleka huko na usalama ni zaidi hata ya bilioni 2, ni aibu tupu.
Wewe mpumbavu sana, yaani hujui Uranium ni kitu gani ndio maana.Huko Namtumbo Rais amezindua mradi wa ka kiwanda cha kuchenjua Uranium kama mashine za kusaga za vijijini. Mradi ambao kiuhalisia ulipaswa hata kuzinduliwa na Diwani wa Kata husika.
Hata hao wawekezaji tu wanaonekana ni wapigaji na wajanja wajanja tu ambao hawana hili wala lile. Hata kwenye maelezo wanayotoa hawako clear hicho kiwanda chao cha kuchenjua Uranium kitalinufaishaje Taifa?
Kituko zaidi ukitaka kujua mradi huu ni usanii watu wanachenjua Uranium alafu hawana hata protective gears ukizingatia madini haya yanavyofahamika kwa kuwa na mionzi mikali.
No Reforms No Election ✊️ ✌️
View attachment 3424816
TunatikiSasa ulitaka uzinduliwe na Heche au? Oktoba tunatiki hata ukinuna shauri yako😎
Ngoja tufrahie kwakua sio muda kunapendezaHuko Namtumbo Rais amezindua mradi wa ka kiwanda cha kuchenjua Uranium kama mashine za kusaga za vijijini. Mradi ambao kiuhalisia ulipaswa hata kuzinduliwa na Diwani wa Kata husika.
Hata hao wawekezaji tu wanaonekana ni wapigaji na wajanja wajanja tu ambao hawana hili wala lile. Hata kwenye maelezo wanayotoa hawako clear hicho kiwanda chao cha kuchenjua Uranium kitalinufaishaje Taifa?
Kituko zaidi ukitaka kujua mradi huu ni usanii watu wanachenjua Uranium alafu hawana hata protective gears ukizingatia madini haya yanavyofahamika kwa kuwa na mionzi mikali.
No Reforms No Election ✊️ ✌️
View attachment 3424816
Huko Namtumbo Rais amezindua mradi wa ka kiwanda cha kuchenjua Uranium kama mashine za kusaga za vijijini. Mradi ambao kiuhalisia ulipaswa hata kuzinduliwa na Diwani wa Kata husika.
Hata hao wawekezaji tu wanaonekana ni wapigaji na wajanja wajanja tu ambao hawana hili wala lile. Hata kwenye maelezo wanayotoa hawako clear hicho kiwanda chao cha kuchenjua Uranium kitalinufaishaje Taifa?
Kituko zaidi ukitaka kujua mradi huu ni usanii watu wanachenjua Uranium alafu hawana hata protective gears ukizingatia madini haya yanavyofahamika kwa kuwa na mionzi mikali.
No Reforms No Election ✊️ ✌️
View attachment 3424816
Weee nani kasema?!!! Tunatikiiiii na kutiki tenaaaa wasitutanieee
🤣🤣🤣🤣🤣HAhahaha unapata tabu buree wakati raha zimejaa za kutosha. Pole sana kamanda NRNE imeenda kuzimu nisalimie HECHE mzee wa ngoma ngumu.
Hili soko la Mahindi Kibaigwa au project ya Kuchenjua uranium!!🤣🤣🤣Huko Namtumbo Rais amezindua mradi wa ka kiwanda cha kuchenjua Uranium kama mashine za kusaga za vijijini. Mradi ambao kiuhalisia ulipaswa hata kuzinduliwa na Diwani wa Kata husika.
Hata hao wawekezaji tu wanaonekana ni wapigaji na wajanja wajanja tu ambao hawana hili wala lile. Hata kwenye maelezo wanayotoa hawako clear hicho kiwanda chao cha kuchenjua Uranium kitalinufaishaje Taifa?
Kituko zaidi ukitaka kujua mradi huu ni usanii watu wanachenjua Uranium alafu hawana hata protective gears ukizingatia madini haya yanavyofahamika kwa kuwa na mionzi mikali.
No Reforms No Election ✊️ ✌️
View attachment 3424816
Nyie chadema ndiyo mlivyo kwa vijembe,zingatieni neno (majaribio)Huko Namtumbo Rais amezindua mradi wa ka kiwanda cha kuchenjua Uranium kama mashine za kusaga za vijijini. Mradi ambao kiuhalisia ulipaswa hata kuzinduliwa na Diwani wa Kata husika.
Hata hao wawekezaji tu wanaonekana ni wapigaji na wajanja wajanja tu ambao hawana hili wala lile. Hata kwenye maelezo wanayotoa hawako clear hicho kiwanda chao cha kuchenjua Uranium kitalinufaishaje Taifa?
Kituko zaidi ukitaka kujua mradi huu ni usanii watu wanachenjua Uranium alafu hawana hata protective gears ukizingatia madini haya yanavyofahamika kwa kuwa na mionzi mikali.
No Reforms No Election ✊️ ✌️
View attachment 3424816
Kwani uongo? sisi ni wapumbavu sn yaani tunaishi kwa hisani ya watawalaHii nchi walishatufanya wapumbavu sana