Aibu: Huu ndo mradi wa kuzinduliwa na Rais?

Sasa nje ni kwa moto. Aende wapi?? Kizimkazi??
 
Mantra ni kampuni ya wapi? Ukilijua Hilo utajua Nini kinafanywa!!!wake up
 
Wewe mpumbavu sana, yaani hujui Uranium ni kitu gani ndio maana.
Unatokea ukoo wa Wapumbavu sana
 
Ngoja tufrahie kwakua sio muda kunapendeza
 
 
Nis suala la muda tu Tanzania kuwa Nuclear power nation!
 
HAhahaha unapata tabu buree wakati raha zimejaa za kutosha. Pole sana kamanda NRNE imeenda kuzimu nisalimie HECHE mzee wa ngoma ngumu.
🀣🀣🀣🀣🀣
Dah, hawa nyumbu, hususani wa humu jf ndiyo binadamu wanaopata tabu zaidi kwa Sasa duniani. Kwakweli wanatabika haswaa...... Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania, Wala haangaiki nao; ye anapiga vitendo tu.
 
Hili soko la Mahindi Kibaigwa au project ya Kuchenjua uranium!!🀣🀣🀣
 
Nyie chadema ndiyo mlivyo kwa vijembe,zingatieni neno (majaribio)
Tukutaneni 2030,panapo majaliwa,endapo chama kitakuwa hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…