njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kwani tangu lini Lissu aliwatetea watanzania zaidi ya kutetea maslahi yake na familia yake.Lisu yuko bize na amsterdam ,watanzania mtajitetea wenyewe
Weye kijogoo namba D wewe kwani ni usuburi kutetewa,utaporwa hata vile unavyopaswa kuvimiliki kiasili🤸🏿♀️🤸🏿♀️🤸🏿♀️🤸🏿♀️Lisu yuko bize na amsterdam ,watanzania mtajitetea wenyewe
Wanasubiri lissu aje amkemee mkuu wa wilaya ya nyamagana?Weye kijogoo namba D wewe kwani ni usuburi kutetewa,utaporwa hata vile unavyopaswa kuvimiliki kiasili🤸🏿♀️🤸🏿♀️🤸🏿♀️🤸🏿♀️
Isije kuwa TU ni mmoja wa wasiojulikana wa enzi mpya huyo🚶Wanasubiri lissu aje amkemee mkuu wa wilaya ya nyamagana?
Lisu anahusika vipi kwenye kuchagisha hizo pesa? Halafu unajiona mjanja kumbe fala tuLisu yuko bize na amsterdam ,watanzania mtajitetea wenyewe
Kwani hio michango haipo nchi hii? Unatetea ujinga? Muchango ipo sana hapa nilipo tunachangishwa tujenge zahanati, sio huko nyamagana tu wacha kutetea ujinga mkuuHuyu John Heche msimuamini sana. Mama Amina Makilagi, DC mnyenyekevu wa Nyamagana (Mwanza City) hawezi kuamrisha watu wachangie. Huyu Mama amekuwa akihangaika huko na huko kujenga madarasa sehemu mbalimbali. Hata kwenye mtaa nilio na kibanda changu ameishakuja kuhamasisha ujenzi wa vyumba zaidi ya kumi vya madarasa na yeye akishika jembe na sululu kuchimba misingi kwa siku nzima.
John Heche aache kumsema vibaya Mama Amina Makilagi kwani haya madarasa anayojenga yatamsaidia hata mke wake ambaye ni Mwalimu mwajiriwa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuwa na sehemu nzuri ya kufanyia kazi.
Tozo huko nyamagana zinafanya kazi gani mkuu au zinajaza mafuta ya ma vx ya watawala wa nyamagana?Huyu John Heche msimuamini sana. Mama Amina Makilagi, DC mnyenyekevu wa Nyamagana (Mwanza City) hawezi kuamrisha watu wachangie. Huyu Mama amekuwa akihangaika huko na huko kujenga madarasa sehemu mbalimbali. Hata kwenye mtaa nilio na kibanda changu ameishakuja kuhamasisha ujenzi wa vyumba zaidi ya kumi vya madarasa na yeye akishika jembe na sululu kuchimba misingi kwa siku nzima.
John Heche aache kumsema vibaya Mama Amina Makilagi kwani haya madarasa anayojenga yatamsaidia hata mke wake ambaye ni Mwalimu mwajiriwa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuwa na sehemu nzuri ya kufanyia kazi.
Tozo hazisaidii nyamagana? Hela za covid?which is which mbona mauongo mengi?Kwani hio michango haipo nchi hii? Unatetea ujinga? Muchango ipo sana hapa nilipo tunachangishwa tujenge zahanati, sio huko nyamagana tu wacha kutetea ujinga mkuu
Kama vile umetumwa. Hujaelewa kitu.Huyu John Heche msimuamini sana. Mama Amina Makilagi, DC mnyenyekevu wa Nyamagana (Mwanza City) hawezi kuamrisha watu wachangie. Huyu Mama amekuwa akihangaika huko na huko kujenga madarasa sehemu mbalimbali. Hata kwenye mtaa nilio na kibanda changu ameishakuja kuhamasisha ujenzi wa vyumba zaidi ya kumi vya madarasa na yeye akishika jembe na sululu kuchimba misingi kwa siku nzima.
John Heche aache kumsema vibaya Mama Amina Makilagi kwani haya madarasa anayojenga yatamsaidia hata mke wake ambaye ni Mwalimu mwajiriwa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuwa na sehemu nzuri ya kufanyia kazi.
Bado tozoKupitia account yake ya twitter heche anasema mkuu wa wilaya ya nyamgana mwanza kaamrisha wazazi wenye watoto shule za mongela na mlimani kulipa tshs 10,000 kila mmoja kwa ajili ya ujenzi wa madarasa
Tuseme tu ukweli kama nchi tushafeli ni propaganda kutwa na kufanyana wajinga tu
Haya huyo mtembelea vx katoa hiyo amri kesho utasikia tozo katika wilaya ya nyamagana imejenga hospital 4000,madarasa 12000 blah blah
Its a shame kutawaliwa na watu wenye maarifa madogo jinsi ya ku utilise utajiri wa asili wa nchii wanawaza kukamua na kuibia raia na kuwatia stress tu
Wanachowaza wao kutanua kwenye ma vx huku wakiwaona wanuka jasho kama vikaragosi
Mimi mwenyewe numestaajabishwa na hiyo Comment.Lisu anahusika vipi kwenye kuchagisha hizo pesa? Halafu unajiona mjanja kumbe fala tu
Kesho utamsikia huyo mtembelea vx wa nyamagana kwamba tozo katika wilaya yake imejenga madarasa 1000 na zahanati 500Waache kumchonganisha Raisi wetu mpendwa na Wananchi.
Wewe nyumbu huna unachojua kuhusu history ya Tundu Lisu ,Kwani tangu lini Lissu aliwatetea watanzania zaidi ya kutetea maslahi yake na familia yake.
Ebu taja orodha ya yale ambayo wewe umekwishamuona Lissu akitutetea watanzania!
UVCCM siku zote mnateteaga upuuzi wa viongoziHuyu John Heche msimuamini sana. Mama Amina Makilagi, DC mnyenyekevu wa Nyamagana (Mwanza City) hawezi kuamrisha watu wachangie. Huyu Mama amekuwa akihangaika huko na huko kujenga madarasa sehemu mbalimbali. Hata kwenye mtaa nilio na kibanda changu ameishakuja kuhamasisha ujenzi wa vyumba zaidi ya kumi vya madarasa na yeye akishika jembe na sululu kuchimba misingi kwa siku nzima.
John Heche aache kumsema vibaya Mama Amina Makilagi kwani haya madarasa anayojenga yatamsaidia hata mke wake ambaye ni Mwalimu mwajiriwa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuwa na sehemu nzuri ya kufanyia kazi.