njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
kesi kubwaa sana ambayo kwa kweli sidhani kama kuna jaji wa tanzania mwenye level ya kuielewa achilia mbali kutolea maamuzi soon inaanza kunguruma hapo kenya maamuzi yake yanatarajiwa kutolewa mwezi ujao mwanzoni
Ni kesi kubwa kila upande unavutia kwake, hawa wanasema kuna wizi wa kura leo chebukati anakuambia alitembelewa saa tisa usiku na kina Amos wako wa BARAZA LA USALAMA LA TAIFA wakamuambia ahakikishe uchaguzi unarudiwa ,Rutto asitangazwe hiyo ilikuwa usiku wa kuamkia tarehe 15 siku aliyomtangaza WSR akakataa hadi commisioners wenzake wawepo na walifika kweli..kikao kikaisha bila yeye kukubali kufata matakwa ya DEEP STATE
Embu fkiria mfumo wa mahakama yetu ulivyochezewa na kuharibiwa hadi kisaikolojia umeharibika kabisa ungeweza kesi ya aina hii?
KAMA KESI YA WATU WABUNGE FEKI COVID 19 WENGINE WALIKUWA JELA USIKU KESHO MBUNGE INAWASHINDA MNAIPIGA DANADANA YA KENYA MNGEWEZA?
KIWANGO CHA MAJAJI WETU NI DUNI KABISAA, WAMEKUBALI KUJIDHARAULISHA ILA MBAYA ZAIDI WANADHARAULISHA TAALUMA YAO
KENYA LI KESI LIKUUBWA MWEZI UJAO WANALIMALIZA HAPA YA MZEE MDEE HADI 2025 HUKU MKISUBIRIA MPEWE MAELEKEZO, SHAME SHAME SHAME