DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
Itaahirishwa had DCI aifutewakati mtu unakubali kudhalilisha utu wako kuwa na huruma basi na taaluma yako jamani,hivi hawa majaji wetu wakipewa kesi ya kina odinga si watachanganyikiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itaahirishwa had DCI aifutewakati mtu unakubali kudhalilisha utu wako kuwa na huruma basi na taaluma yako jamani,hivi hawa majaji wetu wakipewa kesi ya kina odinga si watachanganyikiwa?
kesi kubwaa sana ambayo kwa kweli sidhani kama kuna jaji wa tanzania mwenye level ya kuielewa achilia mbali kutolea maamuzi soon inaanza kunguruma hapo kenya maamuzi yake yanatarajiwa kutolewa mwezi ujao mwanzoni
Ni kesi kubwa kila upande unavutia kwake, hawa wanasema kuna wizi wa kura leo chebukati anakuambia alitembelewa saa tisa usiku na kina Amos wako wa BARAZA LA USALAMA LA TAIFA wakamuambia ahakikishe uchaguzi unarudiwa ,Rutto asitangazwe hiyo ilikuwa usiku wa kuamkia tarehe 15 siku aliyomtangaza WSR akakataa hadi commisioners wenzake wawepo na walifika kweli..kikao kikaisha bila yeye kukubali kufata matakwa ya DEEP STATE
Embu fkiria mfumo wa mahakama yetu ulivyochezewa na kuharibiwa hadi kisaikolojia umeharibika kabisa ungeweza kesi ya aina hii?
KAMA KESI YA WATU WABUNGE FEKI COVID 19 WENGINE WALIKUWA JELA USIKU KESHO MBUNGE INAWASHINDA MNAIPIGA DANADANA YA KENYA MNGEWEZA?
KIWANGO CHA MAJAJI WETU NI DUNI KABISAA, WAMEKUBALI KUJIDHARAULISHA ILA MBAYA ZAIDI WANADHARAULISHA TAALUMA YAO
KENYA LI KESI LIKUUBWA MWEZI UJAO WANALIMALIZA HAPA YA MZEE MDEE HADI 2025 HUKU MKISUBIRIA MPEWE MAELEKEZO, SHAME SHAME SHAME
Mwezi ujao wanalimaliza. Unasifia mambo ambayo bado hayajafanyika. Vipi kama ikifika siku iliyotajwa halafu washindwe kuimaliza?
Kenya level nyingine...
Mkuu omba uraia wa Kenya ili ukapate haki huko.
Tunaishi binadamu tunaojitambua sana hatufuati upepo tu eti kwa sababu Kenya wanafanya hivi na sisi tufuate tu bila kuangalia jamii yetu inapenda kitu gani. Mkuu wahi uraia wa Kenya ukaanze kuishi mabandani. Napajua sana Kenya nimeishi na kufanyakazi huko. Hapafai kabisaaa.

Kwani kuwa na slavery mentality lazima wawe wazungu!!??
Majaji wa Tanzania hawana kitu wanadhalilisha taaluma zao.Mimi sijawahi sikia majaji wa hovyo kama wa Tz hata kanchi kama Malawi hakana majaji wa hovyo vilewakati mtu unakubali kudhalilisha utu wako kuwa na huruma basi na taaluma yako jamani,hivi hawa majaji wetu wakipewa kesi ya kina odinga si watachanganyikiwa?
Jambo moja nililojifunza kutoka kwetu. Watanzania tupo tayari kusifia upuuzi wa mgeni na kukandia hata mazuri yetu machache.
Kesi unayoisifia ya [emoji1139] inawabana majaji kuhusu idadi ya siku kikatiba na kisheria.
Hakuna kizuri cha kujisifia ikiwa mnaliingiza Taifa kwenye mkorogano wa namna ile kisa tu biashara ya kisiasa ya watu wachache ambao hata kwa idadi tu 500 hawafiki, waamue amani ya mamilioni ya wakenya
You are not informed mkuu. Wapo wengi sana tu wanaforge docs ili wawe raia wa nchi hii kwa sababu kuna opportunities nyingi sana kwa kuwa kuna watz kama nyinyi msiojitambua kila siku kuponda tu Utanzania wako then unafikiri una akili sana ni sana na kuponda nyumbani kwenu na familia yako.
Pole sana kwa kuwa na njaa kali hatari. TZ ni nchi nzuri sana ndio maana Wakenya, Wahindi wengi tu wanataka uraia wa nchi hii. Ila kuna Watz kama wewe hamthamini nchi yenu simply because you have been brain washed!!
Mzazi wako akifanya mambo ya hovyo unaomba kuzaliwa na mzazi mwingine au unabadiri jina?ujinga ni kuruhusu matokeo kuwa disputed mahakamani? kwamba hata kama una malalamiko inatakiwa unyamaze AU UENDE MSITUNI KUANZISHA UASI? LI NCHI LA WANAFIKI LA KICHAWI SANA HILI
Mahakama ya Tanzania imenajisiwa sanakesi kubwaa sana ambayo kwa kweli sidhani kama kuna jaji wa tanzania mwenye level ya kuielewa achilia mbali kutolea maamuzi soon inaanza kunguruma hapo kenya maamuzi yake yanatarajiwa kutolewa mwezi ujao mwanzoni
Ni kesi kubwa kila upande unavutia kwake, hawa wanasema kuna wizi wa kura leo chebukati anakuambia alitembelewa saa tisa usiku na kina Amos wako wa BARAZA LA USALAMA LA TAIFA wakamuambia ahakikishe uchaguzi unarudiwa ,Rutto asitangazwe hiyo ilikuwa usiku wa kuamkia tarehe 15 siku aliyomtangaza WSR akakataa hadi commisioners wenzake wawepo na walifika kweli..kikao kikaisha bila yeye kukubali kufata matakwa ya DEEP STATE
Embu fkiria mfumo wa mahakama yetu ulivyochezewa na kuharibiwa hadi kisaikolojia umeharibika kabisa ungeweza kesi ya aina hii?
KAMA KESI YA WATU WABUNGE FEKI COVID 19 WENGINE WALIKUWA JELA USIKU KESHO MBUNGE INAWASHINDA MNAIPIGA DANADANA YA KENYA MNGEWEZA?
KIWANGO CHA MAJAJI WETU NI DUNI KABISAA, WAMEKUBALI KUJIDHARAULISHA ILA MBAYA ZAIDI WANADHARAULISHA TAALUMA YAO
KENYA LI KESI LIKUUBWA MWEZI UJAO WANALIMALIZA HAPA YA MZEE MDEE HADI 2025 HUKU MKISUBIRIA MPEWE MAELEKEZO, SHAME SHAME SHAME
Bora huyo ana matatizo kwenye akili wewe hiyo akili huna kabisaaaKwa ujinga walioonyesha bado unawasifu? Utakuwa una matatizo ya akili wewe!!