njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
-
- #21
ujinga ni kuruhusu matokeo kuwa disputed mahakamani? kwamba hata kama una malalamiko inatakiwa unyamaze AU UENDE MSITUNI KUANZISHA UASI? LI NCHI LA WANAFIKI LA KICHAWI SANA HILIKwa ujinga walioonyesha bado unawasifu? Utakuwa una matatizo ya akili wewe!!
Mkuu omba uraia wa Kenya ili ukapate haki huko.Huwezi kufananisha mfumo wa mahakama ya Kenya kiutendaji na huu uchafu wa hapa. Hapa kwetu hatuna mahakama, bali tuna majengo ya mahakama yanayoendeshwa na Makada wa CCM. Ukiona majaji wetu wanavyoongea kwa woga na majizi ya kura ya CCM, hata ni aibu kabisa.
Mkuu omba uraia wa Kenya ili ukapate haki huko.
Tunaishi binadamu tunaojitambua sana hatufuati upepo tu eti kwa sababu Kenya wanafanya hivi na sisi tufuate tu bila kuangalia jamii yetu inapenda kitu gani. Mkuu wahi uraia wa Kenya ukaanze kuishi mabandani. Napajua sana Kenya nimeishi na kufanyakazi huko. Hapafai kabisaaa.Ni kweli, maana hapa tunaishi makondoo watupu.
kwa nini isiwe burundi, kwani roho inakuuma kuona wansifiwa, mstue basi braza mahera muambie kuna forms zinatakiwa ziwe uploaded online baada ya uchafuzi watu walinganishe kura na alizotangaza, mbona hataki jamani its been 2 years , ni nchi ya aina gani hii?Mkuu omba uraia wa Kenya ili ukapate haki huko.
tuige nchi gani kiongozi, kumbe tuko vizuri sana kimaisha? naskia hata kielimu na upeo tumewapiga bao sana, nipe story basi kuhusu majaji wao ni VILAZA KAMA WA ILE NCHI YA KUSADIKIKA?Tunaishi binadamu tunaojitambua sana hatufuati upepo tu eti kwa sababu Kenya wanafanya hivi na sisi tufuate tu bila kuangalia jamii yetu inapenda kitu gani. Mkuu wahi uraia wa Kenya ukaanze kuishi mabandani. Napajua sana Kenya nimeishi na kufanyakazi huko. Hapafai kabisaaa.
Tunaishi binadamu tunaojitambua sana hatufuati upepo tu eti kwa sababu Kenya wanafanya hivi na sisi tufuate tu bila kuangalia jamii yetu inapenda kitu gani. Mkuu wahi uraia wa Kenya ukaanze kuishi mabandani. Napajua sana Kenya nimeishi na kufanyakazi huko. Hapafai kabisaaa.
Pole sana kwa kuwa na njaa kali hatari. TZ ni nchi nzuri sana ndio maana Wakenya, Wahindi wengi tu wanataka uraia wa nchi hii. Ila kuna Watz kama wewe hamthamini nchi yenu simply because you have been brain washed!!tuige nchi gani kiongozi, kumbe tuko vizuri sana kimaisha? naskia hata kielimu na upeo tumewapiga bao sana, nipe story basi kuhusu majaji wao ni VILAZA KAMA WA ILE NCHI YA KUSADIKIKA?
Pole sana kwa kuwa na njaa kali hatari. TZ ni nchi nzuri sana ndio maana Wakenya, Wahindi wengi tu wanataka uraia wa nchi hii. Ila kuna Watz kama wewe hamthamini nchi yenu simply because you have been brain washed!!
Mkuu amini ninachokuambia kijumla Watz Kiafya, kielimu na kimaisha ya jamii tuko juu ya wakenyaHapafai kwa watu wanaopenda kuishi kinafiki. Kama tungekuwa tunajitambua tungekuwa juu yao kiuchumi, kiafya, kielimu, kisiasa nk. Jamii yetu inaongozwa na CCM kwa mabavu na sio kwa matakwa yao. Ila tatizo tumejaa majoga ndio maana tunaburuzwa na chama chakavu.
Mkuu amini ninachokuambia kijumla Watz Kiafya, kielimu na kimaisha ya jamii tuko juu ya wakenya
You are not informed mkuu. Wapo wengi sana tu wanaforge docs ili wawe raia wa nchi hii kwa sababu kuna opportunities nyingi sana kwa kuwa kuna watz kama nyinyi msiojitambua kila siku kuponda tu Utanzania wako then unafikiri una akili sana ni sana na kuponda nyumbani kwenu na familia yako.Wakenya gani na wahindi wanaitamani Tanzania? Wahindi kibao wako Kenya maana hamna siasa za rais kupora mali za watu. Tuko brainwashed au hatukubaliani na ukondoo?
Wanakuzidi wewe kwa kuwa una slavery mentality.Maisha yako. Tuko juu ya wakenya kinafiki, nidhamu ya woga na kujipendekeza, sio zaidi ya hapo. Wakenya wanatuzidi kila kitu kuanzia uchumi, elimu, kiafya, michezo, kisiasa nk.
Slave mentality kwani wakenya ni wazungu? Huo ndio ukweli kuwa wako vizuri Kuliko sisi tunaoburuzwa na chama kichovu. Hivyo jenga tabia ya kuvumilia ukweli.Wanakuzidi wewe kwa kuwa una slavery mentality.
Kwani kuwa na slavery mentality lazima wawe wazungu!!??Slave mentality kwani wakenya ni wazungu? Huo ndio ukweli kuwa wako vizuri Kuliko sisi tunaoburuzwa na chama kichovu. Hivyo jenga tabia ya kuvumilia ukweli.
wacha wee, sasa hata kesi ya covid 19 ni ya kumhangaisha jaji kuahirishaahirisha ili kupata maelekezo toka juu?Jambo moja nililojifunza kutoka kwetu. Watanzania tupo tayari kusifia upuuzi wa mgeni na kukandia hata mazuri yetu machache.
Kesi unayoisifia ya [emoji1139] inawabana majaji kuhusu idadi ya siku kikatiba na kisheria.
Hakuna kizuri cha kujisifia ikiwa mnaliingiza Taifa kwenye mkorogano wa namna ile kisa tu biashara ya kisiasa ya watu wachache ambao hata kwa idadi tu 500 hawafiki, waamue amani ya mamilioni ya wakenya
Yanaeleweka ila yanafanywa kutoeleweka.Tanzania ni Taifa la mfano kuigwa kwa mambo yasioeleweka.