AIBU: Kesi nzito Kenya maamuzi mwanzo mwezi ujao, hapa COVID 19 ni danadana


Tanzania Kuna shida Sana. Mahakama na Bunge zote zipo mikononi mwa CCM. Unategemea Nini. Mwaka 2015 watu walishangaa kumuona jaji mkuu Augustino anachukua fomu ya urais CCM . Au Mwenyekiti wa ZEC Jecha anachukua fomu ya CCM . Hakuna jipya zaidi ya kulipa tozo.
 
Mwezi ujao wanalimaliza. Unasifia mambo ambayo bado hayajafanyika. Vipi kama ikifika siku iliyotajwa halafu washindwe kuimaliza?

Wameshaweka timeline mkuu. Na miaka you wanafanya hivyo. Ndani ya siku tano kesi imeisha na wanatoa maamuzi kesho yake, sababu za hukumu hutolewa baadae.
 
Mkuu omba uraia wa Kenya ili ukapate haki huko.

Kwa Nini aspate haki kwenye nchi yake mpaka ahame?. Waweke kwanza fomu za NEC kwenye portal. Mnatumia billioni Mia nne kufanya uchaguzi Kama sio laana Ni Nini?.
 
Kwani hapa Tanzania kuna Mahakama???

“Majaji na mahakimu hakikisheni mnafanya maamuzi kulingana na muelekeo wa serikali unavyoenda” Jaji Mkuu Ibrahim Juma
 

Nchi ya Tozo na mikopo. Unatoza watu kwenye kila kitu halafu huwezi kupunguza gharama za Maisha. Mafutabya ptrol huku kwetu yanakaribia shilingi elfu nne kwa Lita. Halafu bado mfumuko wa Bei upo juu Nani alipende liserikali la hivi? .
 

CCM imeiletea laana hi nchi. Uchumi mbovu, mfumuko wa Bei juu halafu Sasa ukifika wakati wa uchaguzi ni majanga. Yani tupo vibaya kiuchumi na kisiasa. Laana juu ya laana.
 
Kwani kuwa na slavery mentality lazima wawe wazungu!!??

Wewe una slave mentality ya CCM . Umeridhika?. Miaka 60 ya Uhuru bado mnawaibia wananchi pesa zao kwenye akaunti ya benki. Serikali ya kijinga.
 
wakati mtu unakubali kudhalilisha utu wako kuwa na huruma basi na taaluma yako jamani,hivi hawa majaji wetu wakipewa kesi ya kina odinga si watachanganyikiwa?
Majaji wa Tanzania hawana kitu wanadhalilisha taaluma zao.Mimi sijawahi sikia majaji wa hovyo kama wa Tz hata kanchi kama Malawi hakana majaji wa hovyo vile
 

Mbona kipindi kilichopita walifuta uchaguzi wa urais na Mambo yalienda. Kenya wamejua kutatua shida yao ya machafuko kipindi Cha uchaguzi. Sasa hivi ni amani tu. Sio huku siku ya kupiga kura internet inazimwa nchi nzima kwa mwezi mzima ili wizi wa kura ufanyike vizuri. Mpaka Leo mahera hajaweka fomu za kura za urais kwenye portal anaogopa kuaibika.
 

Oppotlrtunities zipi?. Wakati vijanna hawana ajira? Acha uongo, Tanzania kinachotubeba Ni amani ambayo inalindwa na wananchi na sio serikali ya Tozo na mikopo.
 
Pole sana kwa kuwa na njaa kali hatari. TZ ni nchi nzuri sana ndio maana Wakenya, Wahindi wengi tu wanataka uraia wa nchi hii. Ila kuna Watz kama wewe hamthamini nchi yenu simply because you have been brain washed!!

Serikali mbovu huaribu image ya nchi. Tozonia na sio Tanzania.
 
ujinga ni kuruhusu matokeo kuwa disputed mahakamani? kwamba hata kama una malalamiko inatakiwa unyamaze AU UENDE MSITUNI KUANZISHA UASI? LI NCHI LA WANAFIKI LA KICHAWI SANA HILI
Mzazi wako akifanya mambo ya hovyo unaomba kuzaliwa na mzazi mwingine au unabadiri jina?
 
Mahakama ya Tanzania imenajisiwa sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Waajili police wasomi na majaji wasomi tunaweza fika duniani.
 
Nimesoma komenti hakika kama jaji wa Tanzania amepitia hapa basi baadhi yao wanasikitika na kuugulia mawazo huko walipo kwa hizo komenti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…