Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Hakika mkuu wangu [emoji7]Wajinga ndio waliwao.
Mno mkuu wangu....Inasikitisha
KwakweliMno mkuu wangu....
Baba wa taifa alisema "UBEBERU" ni unyama....
Wanakomaa na FUTUHIKweli watu wana ajenda zao....
Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....
Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO huko Rwanda na kuiacha habari hii ya jukwaa la FOCAC ?!!!
Nimeamini hawa BBC ,AL JAZEERA wana AJENDA ZAO....
#Vijana Afrika Tutie Akili
#Huko Nje hatuna wajomba bali wadau wa maendeleo[emoji2956]
#Nchi Kwanza[emoji2956]
Hovyo sana mkuu wangu...BBC ya siku hizi daah...
Nani aonyeshe upuuz wa watekaji watu.Kweli watu wana ajenda zao....
Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....
Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO huko Rwanda na kuiacha habari hii ya jukwaa la FOCAC ?!!!
Nimeamini hawa BBC ,AL JAZEERA wana AJENDA ZAO....
#Vijana Afrika Tutie Akili
#Huko Nje hatuna wajomba bali wadau wa maendeleo[emoji2956]
#Nchi Kwanza[emoji2956]
Hawataki Afrika iamke....Kwakweli
Wanatufanya VIKARAGOSI....Wanakomaa na FUTUHI
Hakika wametunyima taarifa muhimu kwa wakati...wanangojea kuja kuonesha "recorded"....Hovyo sana mkuu wangu...
#Vyombo hivi na AJENDA zao
Ubeberu huku kutwa nzima kuombaonba Kwa mabeberu kama sio upumbavu ni Nini Hadi matundu ya choo mabeberu yanawajengeaMno mkuu wangu....
Baba wa taifa alisema "UBEBERU" ni unyama....
[emoji1787]Nani aonyeshe upuuz wa watekaji watu.
Wanatufanya watoto wachanga....watutafunie "biskuti" [emoji1787]Hakika wametunyima taarifa muhimu kwa wakati...wanangojea kuja kuonesha "recorded"....
Mkuu nisaidie kidogo...Ni aibu kwa star tv ya akina Odemba, raia wa Kenya aliyetumwa kama mamluki wa kusababisha vurugu Tanzania