Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
- Thread starter
- #141
Weledi umetawala TBC ...inalinda maslahi yasiyokatika ya wananchi wa JMT.....Na kweli. Yeye badala ya kupigania weledi utawale huko Habari Leo na TBC ili wananchi waamke, anakomalia BBC . Ubongo wake una shida huyo .