Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 2,369
- 1,775
Mkuu kile ni chombo cha habari. Hivi vyombo pamoja na kuandika hizo habari huwa zina taratibu zake. Moja ni kwamba ili habri itoke lazima iendane na sera pamoja na siasa za chombo chenyewe. Huenda ODEMBA aliandika hiyo habari lakini mhariri akaiwacha (he might have spiked it) kwa sababu haikukidhi vigezo.Kweli watu wana ajenda zao....
Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....
Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO huko Rwanda na kuiacha habari hii ya jukwaa la FOCAC ?!!!
Nimeamini hawa BBC ,AL JAZEERA wana AJENDA ZAO....
#Vijana Afrika Tutie Akili
#Huko Nje hatuna wajomba bali wadau wa maendeleo[emoji2956]
#Nchi Kwanza[emoji2956]
cc: Pascal Mayalla