Aibu kubwa kwa BBC swahili kupitia chaneli ya Star TV kutoonyesha habari ya mkutano wa FOCAC huko China

Kweli watu wana ajenda zao....

Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....

Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO huko Rwanda na kuiacha habari hii ya jukwaa la FOCAC ?!!!

Nimeamini hawa BBC ,AL JAZEERA wana AJENDA ZAO....

#Vijana Afrika Tutie Akili

#Huko Nje hatuna wajomba bali wadau wa maendeleo[emoji2956]

#Nchi Kwanza[emoji2956]
Mkuu kile ni chombo cha habari. Hivi vyombo pamoja na kuandika hizo habari huwa zina taratibu zake. Moja ni kwamba ili habri itoke lazima iendane na sera pamoja na siasa za chombo chenyewe. Huenda ODEMBA aliandika hiyo habari lakini mhariri akaiwacha (he might have spiked it) kwa sababu haikukidhi vigezo.

cc: Pascal Mayalla
 
Hakika mkuu....

Watu na AJENDA zao...

Vyombo vya habari na AJENDA ZAO....
 
BBC Niloacha kuangalia taarifa zao muda sana. Wakipata habari ya ushoga yaani ndo wataichambua vizuri sana. Wana habari za kibaguzi bora hata VOA
 
Kweli watu wana ajenda zao....

Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....

Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO huko Rwanda na kuiacha habari hii ya jukwaa la FOCAC ?!!!

Nimeamini hawa BBC ,AL JAZEERA wana AJENDA ZAO....

#Vijana Afrika Tutie Akili

#Huko Nje hatuna wajomba bali wadau wa maendeleo[emoji2956]

#Nchi Kwanza[emoji2956]
Huo mkutano hauna faida yoyote kwa BBC kwanza. Pili, China ina vita ya kiuchumi na hao Wazungu, kwa hiyo hawawezi tumia media yao kuwapa coverage. By the way, mbona China anayo propaganda Tv yake ya CGTN, kwani hiyo haimtoshi mpaka BBC awasaidie Kazi!?

Hata vyombo vya habari vya nchi TBC, ccm inaviuamulia nini vionesha au kuandika, usisahau Hilo. Ukitaka Kuona hao wapumbavu waliokusanywa huko China, ungewalaumu TBC kwa kutoonesha.
 
Wewe angalia TBC inayoendeshwa na Kodi zako. Usiwapangia BBC ambao hawatumii hata shilingi Moja Yako
 
Hawataki Afrika iamke....

Wao kazi yao ni kujificha katika kivuli cha DEMOKRASIA yenye "anuani" yao....[emoji25]
Kama kuamka kwenyewe ndio kule kumpa mchina bandari kwa miaka 100, Tena kwa masharti ya kiwendawazimu, basi ni vyema tuendelee kulala
 
Kweli watu wana ajenda zao....

Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....

Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO huko Rwanda na kuiacha habari hii ya jukwaa la FOCAC ?!!!

Nimeamini hawa BBC ,AL JAZEERA wana AJENDA ZAO....

#Vijana Afrika Tutie Akili

#Huko Nje hatuna wajomba bali wadau wa maendeleo[emoji2956]

#Nchi Kwanza[emoji2956]
Viongozi wetu wanakusanywa na kudhalilishwa na mabeberu
 
Umemaliza...BBC na AL JAZEERA are tools of informational warfare against DEVELOPING NATIONS....

Waelewe hawa GenZ ana akina ODEMBA.....
Ni kama Habari Leo linavyotumika kuwapumbaza waTz, mbaya zaidi kwa kutumia Kodi zao wenyewe.
 
Africa itaamkwa kwa kutangazwa na bbc? Uza ubongo huo dogo.
Na kweli. Yeye badala ya kupigania weledi utawale huko Habari Leo na TBC ili wananchi waamke, anakomalia BBC . Ubongo wake una shida huyo .
 
Wewe endelea kusikia... jamaa aliuwawa pale pale juu ya paa la nyumba alipokuwa amejificha, check your facts....na mkuu wa usalama akalazimika kujiuzulu baada ya kula kibano cha kufa mtu bungeni...
Soma vizuri, jamaa hapo kamkejeli. " Uchunguzi Bado unaendelea kama Tz"
 
Huo mkutano hauna faida yoyote kwa BBC kwanza. Pili, China ina vita ya kiuchumi na hao Wazungu, kwa hiyo hawawezi tumia media yao kuwapa coverage. By the way, mbona China anayo propaganda Tv yake ya CGTN, kwani hiyo haimtoshi mpaka BBC awasaidie Kazi!?

Hata vyombo vya habari vya nchi TBC, ccm inaviuamulia nini vionesha au kuandika, usisahau Hilo. Ukitaka Kuona hao wapumbavu waliokusanywa huko China, ungewalaumu TBC kwa kutoonesha.
Mpumbavu ni baba yako....
 
Wewe angalia TBC inayoendeshwa na Kodi zako. Usiwapangia BBC ambao hawatumii hata shilingi Moja Yako
Sawa....

Hatuwapangii...

Tunakumbushana juu ya kuzitambua hizi "media" na AJENDA ZAO...
 
Back
Top Bottom