Aibu kubwa kwa BBC swahili kupitia chaneli ya Star TV kutoonyesha habari ya mkutano wa FOCAC huko China

Na kweli. Yeye badala ya kupigania weledi utawale huko Habari Leo na TBC ili wananchi waamke, anakomalia BBC . Ubongo wake una shida huyo .
Weledi umetawala TBC ...inalinda maslahi yasiyokatika ya wananchi wa JMT.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…