Aibu kubwa kwa taifa letu kuwa na taasisi kama Tahliso ambayo haijui kuwa Chadema wana haki kikatiba kukubali au kukataa hoja za kikosi kazi

Aibu kubwa kwa taifa letu kuwa na taasisi kama Tahliso ambayo haijui kuwa Chadema wana haki kikatiba kukubali au kukataa hoja za kikosi kazi

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mtu upo chuo kikuu unashindwa kutambua kuwa haki za kimsingi zimeanishwa wazi kabisa kuanzia ibara ya 13 - 29 ya katiba ya JMT

Unabaki kubwabwaja hovyo kama unahara.

Sio kila kinachofanywa na serikali hakitakiwi kupingwa inategemea. Ndio maana ibara ya 18 ya katiba ya JMT inatoa haki ya kujieleza na kutafuta maoni.

Tahliso acheni utaahira
 
Mkuu siku hizi kila mtu chawa baada ya kuona akina baba levo na steve nyerere ni rahisi kukutana na viongozi na kula madeal kuliko wasomi kisa uchawa tu, basi watu wote wamejitoa akili maana uchawa unalipa. Wanajua ila ndo wanapambania matumbo
 
Hazijapita siku nyingi tangu niseme humu kwamba, wasomi wengi wa kipindi hiki ndio wamegeuka kuwa wajinga zaidi na ndio wengi ni machawa. Imekuwa ni afadhali hata watu walioshindwa kusoma na wakaishia darasa la saba.

Labda huko vyuoni wanakwenda kusomia ujinga kama anavyopenda kuuliza dada mmoja humu.
 
Mtu upo chuo kikuu unashindwa kutambua kuwa haki za kimsingi zimeanishwa wazi kabisa kuanzia ibara ya 13 - 29 ya katiba ya JMT

Unabaki kubwabwaja hovyo kama unahara.

Sio kila kinachofanywa na serikali hakitakiwi kupingwa inategemea. Ndio maana ibara ya 18 ya katiba ya JMT inatoa haki ya kujieleza na kutafuta maoni.

Tahliso acheni utaahira
Hao ni vijana wa ovyo sana kuwahi kutokea duniani, hawana tofauti na panyaroad. Educated imbeciles.
 
Back
Top Bottom