Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
MatahiraTahliso ndio nini?
Ni chawa rasmi wa Magogoni.Tahliso ndio nini?
Hao ni vijana wa ovyo sana kuwahi kutokea duniani, hawana tofauti na panyaroad. Educated imbeciles.Mtu upo chuo kikuu unashindwa kutambua kuwa haki za kimsingi zimeanishwa wazi kabisa kuanzia ibara ya 13 - 29 ya katiba ya JMT
Unabaki kubwabwaja hovyo kama unahara.
Sio kila kinachofanywa na serikali hakitakiwi kupingwa inategemea. Ndio maana ibara ya 18 ya katiba ya JMT inatoa haki ya kujieleza na kutafuta maoni.
Tahliso acheni utaahira
Eti wasomi, machizi kabisa!Kujadili machizi ni kupoteza mda wako bure