Aibu kubwa ukweni

Aibu kubwa ukweni

Matanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
2,281
Reaction score
3,976
*Unaenda UKWENI...asubuhi unakaribishwa chai unaandaliwa wa kwanza wewe mezani unakuta kuna sahani ina chapati 3 na wewe unazila zote...*
*...wakati unamalizia kula ile chapati ya 3, baba mkwe naye anakuja kukaa mezani halafu anafoka mbona hamjaleta chapati...[emoji35]*

*...mama mkwe anajibu kwa nguvu zimeshaletwa hapo mezani kila mtu chapati moja moja...*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

*Hapo ndio utaelewa kwanini wimbo wa Taifa tangu 1962 ni audio tu hauna video*

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila, wale wazee wa kufinya hawanaga noma , anaweza aseme mamkwe sijashiba ongeza ingine
 
Hii imeshawai kunitokea,niliwekewa ugali na mchicha nikapiga wote ehh mara akatokea mtoto " ahh umemaliza ugali wote na baba atakula nini sasa"

Nikabaki nimepigwa na butwaa na aibu ya kufa mtu,hapa nilienda kwa baba yangu mdogo huko maeneo ya Shinyanga miaka flani ya nyuma, sikumbuki iyo kesi iliishaje ila nashukuru mama mdogo aliimaliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom