pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Inaonekana umeanza kuangalia ngumi hivi karibuni.Leo kuna pambano kati ya antony Joshua na andy Luiz, sasa kwenye Yale mapambano ya utangulizi wamepigana watanzania wawili,Mohammed na said wote wamepigwa ila kipigo cha huyu said ilikua balaa,kapigwa right jeb moja hatari sana,ilibidi madaktari wamuwai,pambano lilikua la round nne, dogo rounds ya kwanza tu kala jeb moja matata sana... Cha kusikitisha dgo aliemchapa anamiaka 19 tu wakati jamaa ana 32
Kimetokea kupondo.Embu eleza vizuri kwa vituo, mbona kama unakimbizwa. Kimetokea nini huko?
Sio cha kujisifia. Kupigwa round ya kwanza ni fedheha kwa taifaInaonekana umeanza kuangalia ngumi hivi karibuni
Mtu kupigwa round ya kwanza ni kitu cha kawaida sana katika ngumi
Wanaomjua MIKE TYSON waelewa.
Mtu akikuotea punch moja ya kidevu network inakata kwa mudaAmeotewa tu
Ni yule promota wa Hassan Mwakinyo anayeishi Uingereza.Hayo majina waliyoyapeleka sijawahi kuyasikia, ni promota gani kawapeleka?
Kwa kweli hata mimi nimeshuhudia,afadhali yule wa kwanza kidooogo alionyesha upinzani. Huyu wa pili sijui Saidi na body yake ilivyojazia nikajua atamchakaza vibaya dogo aitwaye Pacheco kutoka Texas, USA lakini kumbe mawazo yangu yakawa kinyume Bw Saidi raundi ya kwanza tu hakufurukuta, alilamba sakafu na kusababisha apatiwe first aid hali ilikuwa tete sana.Ni hujuma tu unapelekaje mabondia km hao
Anaitwa Seleman anatokea Kinondoni[emoji23][emoji23]
Mtu akikuotea punch moja ya kidevu network inakata kwa muda
Kwa kweli hata mimi Huyu wa pili sijui Saidi na body yake ilivyojazia nikajua atamchakaza vibaya dogo aitwaye Pacheco kutoka Texas,
Pumbavu sana hili limwanaumeπππYule kilaza sana, alikuwa anatanguliza Kidevu mbele kama mchuma maembe
Mwanaume wa Dasalama katuangusha shanaπππππππππ
[emoji28][emoji28][emoji28] mkuu, almanusura tuwe na msiba wa taifa!!