Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Said Said aondoka kwa aibu baada ya kuzuiwa na Walinzi wa Rais Samia alipotaka kumkabidhi Kitu kutoka mfukoni mwake baada ya ku-perform kwenye Samia Kalamu Awards.
View attachment 3325883
Agange yajayo
Lkn wote ni wasanii hao mkumbuke!Said Said aondoka kwa aibu baada ya kuzuiwa na Walinzi wa Rais Samia alipotaka kumkabidhi Kitu kutoka mfukoni mwake baada ya ku-perform kwenye Samia Kalamu Awards.
View attachment 3325883
Wadau mbalimbali wa Sanaa ya Uchekeshaji wamekuwa na mtazamo tofauti kuhusu tukio hili
View attachment 3325891View attachment 3325892
Kisa tu anaamini anaweza kuigiza sauti ya NyerereKila kukicha machawa wanazidi kuongezeka.
Hata Steve magele naye anatupangia nna ya kuenenda AMANI ya NCHI
Dogo bado hajakomaa kiakili Raisi ni Kiongozi mkuu wa Nchi huwezi mletea mzaha kama ule lazma uweke Mpaka na kumtofautisha na mtu mwengine wa kawaida
Huyu nae yupo huko dar es salaam?!Said Said aondoka kwa aibu baada ya kuzuiwa na Walinzi wa Rais Samia alipotaka kumkabidhi Kitu kutoka mfukoni mwake baada ya ku-perform kwenye Samia Kalamu Awards.
View attachment 3325883
Wadau mbalimbali wa Sanaa ya Uchekeshaji wamekuwa na mtazamo tofauti kuhusu tukio hili
View attachment 3325891View attachment 3325892