Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Ajaribu kuzingtia itifaki, Hana shida saidi
Kwani we na huyo Steve Mengele nani kati yenu ana haki miliki ya hii nchi hadi unapinga maoni yake?Kila kukicha machawa wanazidi kuongezeka.
Hata Steve magele naye anatupangia nna ya kuenenda AMANI ya NCHI
SHIDA MARAIS WA SIKUIZI WAMEKUBALI KUWA AVILABLE SANA HADI WATU WANAWAZOEA OVYO NA KUWAONA WATU WA KAWAIDA KWA AKILI ZA KAWAIDA TU UNAMPAJE RAIS ZAWADI NA WEWE SIO USALAMA WA TAIFA?Anamzoea Maza kijinga Sana.
Ila naye Maza anajicholesha Sana Kwa huyu dogo.
Kuna wakati Mzee hafidhi ataanza kulalamika.
SHIDA YA COMEDIANS WENGI NI UCHAWA YAANI MTU MWANZO MWISHO MAMA ,MAMA WAKATI KAITWA KUCHEKESHA UMATI WA WATU NA SIO MAMA YAKE PEKEE HAPO NDO PANAWAFELISHA INATAKIWA MAMA KIDOGO TUAjaribu kuzingtia itifaki, Hana shida saidi
nn hcho?Kuna mtu Angekula chuma ya mbavu.View attachment 3326423
NI sawa tu si anawachekea, acha wampe haki yake.Said Said aondoka kwa aibu baada ya kuzuiwa na Walinzi wa Rais Samia alipotaka kumkabidhi Kitu kutoka mfukoni mwake baada ya ku-perform kwenye Samia Kalamu Awards.
View attachment 3325883
Wadau mbalimbali wa Sanaa ya Uchekeshaji wamekuwa na mtazamo tofauti kuhusu tukio hili
View attachment 3325891View attachment 3325892
Mhii ivi Raisi wa Tanzania hana kazi. Naona anashugulika na mambo ya hovyo hovyo tuSaid Said aondoka kwa aibu baada ya kuzuiwa na Walinzi wa Rais Samia alipotaka kumkabidhi Kitu kutoka mfukoni mwake baada ya ku-perform kwenye Samia Kalamu Awards.
View attachment 3325883
Wadau mbalimbali wa Sanaa ya Uchekeshaji wamekuwa na mtazamo tofauti kuhusu tukio hili
View attachment 3325891View attachment 3325892
Ukimchekea sana mbwa ipo siku atakulamba mdomo....Said Said aondoka kwa aibu baada ya kuzuiwa na Walinzi wa Rais Samia alipotaka kumkabidhi Kitu kutoka mfukoni mwake baada ya ku-perform kwenye Samia Kalamu Awards.
View attachment 3325883
Wadau mbalimbali wa Sanaa ya Uchekeshaji wamekuwa na mtazamo tofauti kuhusu tukio hili
View attachment 3325891View attachment 3325892
Nimekuelewa vzrSHIDA YA COMEDIANS WENGI NI UCHAWA YAANI MTU MWANZO MWISHO MAMA ,MAMA WAKATI KAITWA KUCHEKESHA UMATI WA WATU NA SIO MAMA YAKE PEKEE HAPO NDO PANAWAFELISHA INATAKIWA MAMA KIDOGO TU
Uko sawa. Na miongoni mwa wanaompiga vita ni wapambe wa wachekeshaji wengine wanao ona SIDE anaenda kuchukua nafasi zaoInaelekea huyu dogo kupiga picha na Rais iliwaumiza watu wengi sana.
Watanzania wana wivu, chuki na roho mbaya sana.
Hakuna sehemu yoyote huyu dogo amemkosea Rais heshima, tatizo la watanzania wengi ni uelewa mdogo na uchawa kwa wingi.
Mnashindwa hata kuelewa vitu vidogo kama pale juu kijana alipanda kuchekesha?
Mkingolewa meno mnalalamika na kujiliza humu JF kumbe wenyewe mnayatafuta mambo mengine.Anamzoea Maza kijinga Sana.
Ila naye Maza anajicholesha Sana Kwa huyu dogo.
Kuna wakati Mzee hafidhi ataanza kulalamika.
Kama uliangalia na unaona dogo hajamosea kokote basi una matatizo ya akili.Inaelekea huyu dogo kupiga picha na Rais iliwaumiza watu wengi sana.