AIBU: Mchekeshaji Said Said aaibika baada ya kuzuiwa na walinzi wa Rais, kisa zawadi ya Cheni

Kila kukicha machawa wanazidi kuongezeka.
Hata Steve magele naye anatupangia nna ya kuenenda AMANI ya NCHI
Kwani we na huyo Steve Mengele nani kati yenu ana haki miliki ya hii nchi hadi unapinga maoni yake?
 
NI sawa tu si anawachekea, acha wampe haki yake.
Kwanza hakutakiwa jana aruhusiwe kwa kitendo chake cha kuomba apige picha na rais ilibakamringishie ex
 
Uko sawa. Na miongoni mwa wanaompiga vita ni wapambe wa wachekeshaji wengine wanao ona SIDE anaenda kuchukua nafasi zao
 
Hawa wapumbavu wadhibitiwe kabisa ...Rais ni taasisi kubwa unamsogeleaje kihuni raisi halaf kwa wataalam wa kiroho hakuna rais mwafrika ambaye atadhubutu kupokea vitu kama cheni ama Pete kutoka kwa mtu yoyote kama zawadi...
 
Tusimlaumu dogo!
Uchawa unalipa! Ghafla waweza kuwa kama bw. Mengele! Gari, kanyumba, kuwapa watu dhamana, kuingia Ikulu kama leaders club, kuwa na press conference, kuongelewa mtaani, kupata tender za Ikulu nk nk!
Shauri yetu sisi wabishi!
 
Kama uliangalia na unaona dogo hajamosea kokote basi una matatizo ya akili.

Kiufupi wewe ni punguani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…