lutayega
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 1,297
- 567
Ilikuwa mwezi march kampuni nayofanyia kazi ilibahatika kupata wageni toka kampuni mama ambayo makao makuu yake yapo ubeligiji, wageni hao walikuwa ni wazungu toka ugeligiji. Wageni hao walipangiwa kazi katika idara mbalimbali mmojawapo alikuja kwenye idara yangu kunisaidia kazi mbalimbali za idara yangu. Mgeni huyu aliyekuwa katika idara yangu alikuwa wa jinsia ya kike na alipewa nyumba ya shirika jirani na nilipokuwa naishi.Ndani ya muda mfudi tulikuwa tumezoeana sana na huyu binti, muda mwingi baada ya kazi alikuwa anakuja kwangu kunitembelea,na mimi mara moja moja nilikuwa nikimtembelea kwake. Nilijikuta nikiwa nimezoeana sana na huyu binti wa kizungu mpaka akawa akija kunitembelea akikuta nipo chumbani naye anakuja huko huko chumbani, tabia hiyo ikavuka mipaka akawa akitoka kazini na akija kunitembelea anaweza hata akaenda chumbani kwangu na kulala. Mwenzenu nikaona kama huyu mtu ananipenda na anajigonga kwangu nikapanga nimtokee, kila nikitaka kumpa yangu ya moyoni mdomo unashikwa na kigugumizi. Jana nivyotoka job midaa ya saa 9.30 nikapitiliza hadi chumbani kwangu kujipumzisha, nilijistua mida ya saa 10.30 kuangalia pembeni yangu nikakuta huyu binti amelala tena amevaa sindiria na chpi. Sio siri nilipatwa na wakati mgumu kwanza nilitaka kumuacha mi niende zangu sebuleni ila wazo likanijia kuwa nipige game kwani amejileta mwenyewe kunipa tunda. Du nikamvua sidiria akiwa usingizini, nikaanza kushusha c..h..u..p kabla sijamaliza akawa ameshtuka. Huwezi amini kilichotokea alianza piga kelele kuwa nataka kumbaka niliomba msamaha lakini hakunielewe amenishtaki kwenye uongozi wa kampuni na leo nimesimamishwa kazi na ofisi nzima inanicheka,nasubilia maamuzi ya kikao kesho. Leo nimejaribu kumpigia sim huyu mzungu kumuomba msamaha lakini hataki kunielewa kabisa. Yaani imekuwa aibu kwelikweli kila mtu ananichekaSasa kinachonishangaza chumbani kwangu na kitandani kwangu alikuwa anafuata nini km alikuwa hana mpango wa kunipa. Jamani nimejifunza kuwa unapohitaji kitu usiconclude unayofikiria kuwa ndo na wengine wanafikiri hivyo