Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 653
- 1,421
Amna watu naona majinga kama nyie mnaoongela ushabiki wa mchezaji mmoja mmoja , Bro umeanza kushabikia mpira baada ya ujio wa azam tv?Mashabiki wa Ronaldo kazi kuhama timu tuu.
Mbona una hasira we pimbi?Amna watu naona majinga kama nyie mnaoongela ushabiki wa mchezaji mmoja mmoja , Bro umeanza kushabikia mpira baada ya ujio wa azam tv?
Sema sababu za argentina kushinda, mambo ya Ronaldo ya nini hapa?
Ronaldo alipangiwa Uzbekistan,Congo na Colombia na kashindwa kutoboa mtu wa kwanza. Yaan wao ndo walibebwa balaaAmna watu naona majinga kama nyie mnaoongela ushabiki wa mchezaji mmoja mmoja , Bro umeanza kushabikia mpira baada ya ujio wa azam tv?
Sema sababu za argentina kushinda, mambo ya Ronaldo ya nini hapa?
Baki na uingereza yenu ndio timu mliobakinayo, sisi Argentina na spain mtuachie timu zetuBaada ya France kufungwa na kupigiwa mpira mkubwa sasa kesho ni zamu ya Argentina ambaye kuanzia group stage mpaka quarter final amekuwa akicheza na vibonde pamoja na kubebwa na marefa
Sasa kesho bigwa wa mbinu na bigwa wa knockout Tomas Tuchel atawaonesha ubovu wa Argentina
Umeukimbia uzi wako.Baada ya France kufungwa na kupigiwa mpira mkubwa sasa kesho ni zamu ya Argentina ambaye kuanzia group stage mpaka quarter final amekuwa akicheza na vibonde pamoja na kubebwa na marefa
Sasa kesho bigwa wa mbinu na bigwa wa knockout Tomas Tuchel atawaonesha ubovu wa Argentina
Kiko wapi? HahahaSasa kesho bigwa wa mbinu na bigwa wa knockout Tomas Tuchel atawaonesha ubovu wa Argentina
Siwezi kimbiaUmeukimbia uzi wako.
Baada ya France kufungwa na kupigiwa mpira mkubwa sasa kesho ni zamu ya Argentina ambaye kuanzia group stage mpaka quarter final amekuwa akicheza na vibonde pamoja na kubebwa na marefa
Sasa kesho bigwa wa mbinu na bigwa wa knockout Tomas Tuchel atawaonesha ubovu wa Argentina