Aibu nzito kwa Boni Yai akiwa Bagamoyo

Aibu nzito kwa Boni Yai akiwa Bagamoyo

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
BONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO​

Picha hii iliyopigwa Bagamoyo Aprili 26, 2026 katika Mkutano wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (BoniYai) inaacha ujumbe mmoja mzito kwamba Vijana wa Tanzania wamechoshwa na harakati za CHADEMA za kuwatumia kuleta vurugu na machafuko huku Viongozi wa chama hicho wakineemeka kwa kupata fedha toka kwa wafadhili wao.

Kwa taswira hii, ni wazi kuwa wananchi wengi hawavutiki kujitokeza kusikiliza sera cha kuleta mpasuko ndani ya Nchi, jambo linaloweza kutafsiriwa kama ujumbe wa kimya kutoka kwa jamii kwamba siasa zisizogusa maisha yao moja kwa moja hazina nafasi kubwa mioyoni mwao.

Huu ni mwitikio hafifu, taswira ya aibu, na ishara kwamba wananchi wanataka hoja zenye majibu ya maisha yao — si maneno ya majukwaani pekee.

#RipotiYaTumeImefichua
#TumeYaUchunguziReport

Wafanya Vurugu Walilipwa
IMG-20260426-WA0052.jpg
 
BONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO

Picha hii iliyopigwa Bagamoyo Aprili 26, 2026 katika Mkutano wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (BoniYai) inaacha ujumbe mmoja mzito kwamba Vijana wa Tanzania wamechoshwa na harakati za CHADEMA za kuwatumia kuleta vurugu na machafuko huku Viongozi wa chama hicho wakineemeka kwa kupata fedha toka kwa wafadhili wao.

Kwa taswira hii, ni wazi kuwa wananchi wengi hawavutiki kujitokeza kusikiliza sera cha kuleta mpasuko ndani ya Nchi, jambo linaloweza kutafsiriwa kama ujumbe wa kimya kutoka kwa jamii kwamba siasa zisizogusa maisha yao moja kwa moja hazina nafasi kubwa mioyoni mwao.

Huu ni mwitikio hafifu, taswira ya aibu, na ishara kwamba wananchi wanataka hoja zenye majibu ya maisha yao — si maneno ya majukwaani pekee.

#RipotiYaTumeImefichua
#TumeYaUchunguziReport

Wafanya Vurugu WalilipwaView attachment 3579954
20250410_155441.jpg
20250722_160219.jpg
 
Mafuriko
 
Kwani vijana wa kanda ya pwani wamekuwaje mpaka wanaruhusu hiki chama cha bara kuwepo mikoa ya pwani
 
BONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO​

Picha hii iliyopigwa Bagamoyo Aprili 26, 2026 katika Mkutano wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (BoniYai) inaacha ujumbe mmoja mzito kwamba Vijana wa Tanzania wamechoshwa na harakati za CHADEMA za kuwatumia kuleta vurugu na machafuko huku Viongozi wa chama hicho wakineemeka kwa kupata fedha toka kwa wafadhili wao.

Kwa taswira hii, ni wazi kuwa wananchi wengi hawavutiki kujitokeza kusikiliza sera cha kuleta mpasuko ndani ya Nchi, jambo linaloweza kutafsiriwa kama ujumbe wa kimya kutoka kwa jamii kwamba siasa zisizogusa maisha yao moja kwa moja hazina nafasi kubwa mioyoni mwao.

Huu ni mwitikio hafifu, taswira ya aibu, na ishara kwamba wananchi wanataka hoja zenye majibu ya maisha yao — si maneno ya majukwaani pekee.

#RipotiYaTumeImefichua
#TumeYaUchunguziReport

Wafanya Vurugu WalilipwaView attachment 3579954
Screenshot_20260427-082911~2.png
 
Hivi kwani kuacha unguchiro ni dhambi?
 
Itoshe tu kusema huna akili.
 
Mimi ningemshauri, huyo Boni Yai na viongozi wengine wooote wa chama chochote cha siasa; achana na alama zinazoashiria makundi, hasa ya kidini au kikabila

Upuuzi huo ndio unaotupeleka kwenye migawanyiko hii ya kitaifa.

Huna sababu yoyote ya kuvaa vazi maalum katika eneo husika.

Hayo mengine yote uliyoandika humo ni takataka tu zisizokuwa na mwelekeoi wowote.

Sasa picha yenyewe ulitaka wasikilizaji wawe wamejazana nyuma ya mtoa hotuba?
 
Yericko bhana!
 
Hicho kipande cha mwisho ndio hoja, tunachunguza Kama mtoa mada Ana uhusiano n.a. Yerricko
 
Back
Top Bottom