Bora uwe na watu 10 waliokuja Kwa hiari Yao kuliko kuwa na watu 10,000 uliowalazimisha.mwisho wa siku ndo unatengeneza kura feki ili uende na uhalisia wa utapeli wako
Hapana.
Ni kipande cha juu ndicho chenye maana zaidi.
CCM ndio walituingiza kwenye upumbavu huu wa kujitambulisha kimavazi. Hii ni sumu isiyotakiwa kabisa ndani ya taifa hili.
CHADEMA haihitaji hata mara moja kuiga kitu chochote toka CCM.
CHADEMA itapendwa na waTanzania kwa mambo mengi, siyo kujikombakomba na kujifanya kuwa na kundi lolote linalojitofautisha kwa mavazi au lugha au kabila..
Hili nawaomba sana, achaneni nalo kabisa.
Yericko? Utahangaikia na kupoteza muda na kinyago kama huyo tena?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.