Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
BONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO
Picha hii iliyopigwa Bagamoyo Aprili 26, 2026 katika Mkutano wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (BoniYai) inaacha ujumbe mmoja mzito kwamba Vijana wa Tanzania wamechoshwa na harakati za CHADEMA za kuwatumia kuleta vurugu na machafuko huku Viongozi wa chama hicho wakineemeka kwa kupata fedha toka kwa wafadhili wao.
Kwa taswira hii, ni wazi kuwa wananchi wengi hawavutiki kujitokeza kusikiliza sera cha kuleta mpasuko ndani ya Nchi, jambo linaloweza kutafsiriwa kama ujumbe wa kimya kutoka kwa jamii kwamba siasa zisizogusa maisha yao moja kwa moja hazina nafasi kubwa mioyoni mwao.
Huu ni mwitikio hafifu, taswira ya aibu, na ishara kwamba wananchi wanataka hoja zenye majibu ya maisha yao β si maneno ya majukwaani pekee.
#RipotiYaTumeImefichua
#TumeYaUchunguziReport
Wafanya Vurugu WalilipwaView attachment 3579954
MafurikoBONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO

Umeona Mafuriko hayo? Kweli CHADEMA iko katika mioyo ya watuNaona bwana Zack, wiki hili ndio zamu yako!
BONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO
Picha hii iliyopigwa Bagamoyo Aprili 26, 2026 katika Mkutano wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (BoniYai) inaacha ujumbe mmoja mzito kwamba Vijana wa Tanzania wamechoshwa na harakati za CHADEMA za kuwatumia kuleta vurugu na machafuko huku Viongozi wa chama hicho wakineemeka kwa kupata fedha toka kwa wafadhili wao.
Kwa taswira hii, ni wazi kuwa wananchi wengi hawavutiki kujitokeza kusikiliza sera cha kuleta mpasuko ndani ya Nchi, jambo linaloweza kutafsiriwa kama ujumbe wa kimya kutoka kwa jamii kwamba siasa zisizogusa maisha yao moja kwa moja hazina nafasi kubwa mioyoni mwao.
Huu ni mwitikio hafifu, taswira ya aibu, na ishara kwamba wananchi wanataka hoja zenye majibu ya maisha yao β si maneno ya majukwaani pekee.
#RipotiYaTumeImefichua
#TumeYaUchunguziReport
Wafanya Vurugu WalilipwaView attachment 3579954
Hivi kwani kuacha unguchiro ni dhambi?BONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO

Itoshe tu kusema huna akili.BONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO

Msindikize sasa mwenzio,akachukue buku 7 yakeUmeona Mafuriko hayo? Kweli CHADEMA iko katika mioyo ya watu
Siku hizi imepanda sanaaa ni 80k per dayMsindikize sasa mwenzio,akachukue buku 7 yake
Mimi ningemshauri, huyo Boni Yai na viongozi wengine wooote wa chama chochote cha siasa; achana na alama zinazoashiria makundi, hasa ya kidini au kikabilaBONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO
Picha hii iliyopigwa Bagamoyo Aprili 26, 2026 katika Mkutano wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (BoniYai) inaacha ujumbe mmoja mzito kwamba Vijana wa Tanzania wamechoshwa na harakati za CHADEMA za kuwatumia kuleta vurugu na machafuko huku Viongozi wa chama hicho wakineemeka kwa kupata fedha toka kwa wafadhili wao.
Kwa taswira hii, ni wazi kuwa wananchi wengi hawavutiki kujitokeza kusikiliza sera cha kuleta mpasuko ndani ya Nchi, jambo linaloweza kutafsiriwa kama ujumbe wa kimya kutoka kwa jamii kwamba siasa zisizogusa maisha yao moja kwa moja hazina nafasi kubwa mioyoni mwao.
Huu ni mwitikio hafifu, taswira ya aibu, na ishara kwamba wananchi wanataka hoja zenye majibu ya maisha yao β si maneno ya majukwaani pekee.
#RipotiYaTumeImefichua
#TumeYaUchunguziReport
Wafanya Vurugu WalilipwaView attachment 3579954
Yericko bhana!BONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO

Hicho kipande cha mwisho ndio hoja, tunachunguza Kama mtoa mada Ana uhusiano n.a. YerrickoMimi ningemshauri, huyo Boni Yai na viongozi wengine wooote wa chama chochote cha siasa; achana na alama zinazoashiria makundi, hasa ya kidini au kikabila
Upuuzi huo ndio unaotupeleka kwenye migawanyiko hii ya kitaifa.
Huna sababu yoyote ya kuvaa vazi maalum katika eneo husika.
Hayo mengine yote uliyoandika humo ni takataka tu zisizokuwa na mwelekeoi wowote.
Sasa picha yenyewe ulitaka wasikilizaji wawe wamejazana nyuma ya mtoa hotuba?