Aibu!! Simba hawakupiga shoot lolote kwa hata offside opponent wao

Aibu!! Simba hawakupiga shoot lolote kwa hata offside opponent wao

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Makolo hasara kwa taifa, naomba watoe lile neno la visit Tanzania.

Haiwezekani timu tumeituma kuwakilisha taifa wanachezewa Kama vile

Aibu zilizotokea Leo kwa makolo

Shoot kipindi cha Kwanza

makolo ....total shoot 0
Rs berkane ....total shoot 10

Ball possession
SIMBA: 33%
Rs berkane 67%

Comment factors for kolo failure
1. Poor government support
2. Aged players


Malizia factors zingine

FB_IMG_16460218403721535.jpg
 
Kwahiyo umeamua ututukane sisi MAKOLO kupitia huyo mmbwa aliyejivika manyoya ya simba si ndiyo [emoji848]

Ngoja niwaite RUSSIA wakugaragaze[emoji19]
 
Msiinange kihivyo timu yetu,mechi bado nyingi tutafuzu robo fainali.

Kundi letu timu zote zishafungwa hajabu nini kwa Simba yangu kufungwa au ndo ya kwanza kufungwa kwenye kundi!
 
Thimba guvu moya 🥵

Halafu bado wana viporo chefu chefu! Wachezaji wamechoka! Dah!! Msimu mgumu sana huu.
 
Sisi tumefungwa ila jiuleze we uko wap?????. Think ahead then mpe mnyama pongezi
 
Back
Top Bottom