Aibu tupu, amenikuta bafuni nikiwa uchi wa mnyama

Leo imekua siku mbaya kwangu, nimepanga geto uswahilini na tunashare choo/bafu(both in the same room) na wapangaji 7 wengine(most ni 1st & 2nd year wa chuo jirani hapa).

Asubuhi ya leo nimenda chooni kwa lengo la kujisaidia pamoja na kuoga lakini janga likanipata mdada wa 1st year amekuja kwa spidi ghafla kavuta mlango na ukachia, nlikua nimechuchumaa ikabidi nisamame kwa haraka kuvuta mlango(kibaya nlivua nguo zote nkiwa na lengo la kuoga after), ndugu zangu majanga ikabidi ashike mdomo kwa mshtuka akabaki kusema "samahani jamani" akiwa anaondoka.

Siwezi kueleza yote ila toka asubuhi sikutoka ndani kwa aibu iliyonipata.

Huyo kamtongoze na wewe hadi uone papachu yake aise malipo hapa hapa duniania mbinguni tunaenda kuwakilisha tu
 
Вот!! Hata mimi nilifikiri hivyo, kaona uchi wako..nawe huna budi kuona wake, kwa njia iwayo yote.
 
Mtokee mwambie amalizie kabisa, ucpo mgonga ataenda kihadithia wenzake. Me mwenzio nlipishana na sistaduu mkali ambaye nilokuwa na mkibali kwa bahati mbaya nikajamba. Ss kila nlipokua nakutana naye akawa anatabasamu tokea hapo tukafahamiana nahic aliwaadithia wenzake bt nilishindwa kumtokea kutokana na aibu ile licha ya masela kinitaka nomtokee. Lkn hyo ya kwako ni nzuri hasa km una mashine ya ukweli lkn km una kibamia km mm, kasha kutangaza. Lkn km una mashine gun, hata akikutangaza ndo kwanza atawatsmanisha na wenzake
 
nkajua umefumaniwa na mke wa mtu kumbe mtoto kuona mjamaa wako unaogopa nini kwanza uzembe wako kanunue tinted uvae usoni
 
Leo imekua siku mbaya kwangu, nimepanga geto uswahilini na tunashare choo/bafu(both in the same room) na wapangaji 7 wengine(most ni 1st & 2nd year wa chuo jirani hapa).

Asubuhi ya leo nimenda chooni kwa lengo la kujisaidia pamoja na kuoga lakini janga likanipata mdada wa 1st year amekuja kwa spidi ghafla kavuta mlango na ukachia, nlikua nimechuchumaa ikabidi nisamame kwa haraka kuvuta mlango(kibaya nlivua nguo zote nkiwa na lengo la kuoga after), ndugu zangu majanga ikabidi ashike mdomo kwa mshtuka akabaki kusema "samahani jamani" akiwa anaondoka.

Siwezi kueleza yote ila toka asubuhi sikutoka ndani kwa aibu iliyonipata.

Omba umpakate!!
 
Usikubali mtafute uyamalize atakutangaza huyo hawez kuishia kukuona
 
Vipi bado uko ndani? Na mwenyewe yupo nje anakusubiri utoke.
 
nawe mvizie atakapoingia kuoga ingia kwa spidi hskikisha unaona papuchi yake alafu nawe utaomba msamaha, akikutangaza nawe utamtangaza,
 
Jambo moja la muhimu saaaana ambalo leo ulilisahau, ila usisahau tena siku nyingine ikitokezea kama leo.

Ulitakiwa umwambie "Samahani haipozi dada, ushaniona nyeti zangu sasa na mimi nikiona zako inakuwa ngoma droo" huku unamshika mkono na kumkaribisha.
 
Back
Top Bottom