7ve
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,458
- 4,000
Leo imekua siku mbaya kwangu, nimepanga geto uswahilini na tunashare choo/bafu(both in the same room) na wapangaji 7 wengine(most ni 1st & 2nd year wa chuo jirani hapa).
Asubuhi ya leo nimenda chooni kwa lengo la kujisaidia pamoja na kuoga lakini janga likanipata mdada wa 1st year amekuja kwa spidi ghafla kavuta mlango na ukachia, nlikua nimechuchumaa ikabidi nisamame kwa haraka kuvuta mlango(kibaya nlivua nguo zote nkiwa na lengo la kuoga after), ndugu zangu majanga ikabidi ashike mdomo kwa mshtuka akabaki kusema "samahani jamani" akiwa anaondoka.
Siwezi kueleza yote ila toka asubuhi sikutoka ndani kwa aibu iliyonipata.
Huyo kamtongoze na wewe hadi uone papachu yake aise malipo hapa hapa duniania mbinguni tunaenda kuwakilisha tu