Aibu tupu: Biden asema kuna dozi bilini100 kwa ajili ya Wamarekani 300 tu

Aibu tupu: Biden asema kuna dozi bilini100 kwa ajili ya Wamarekani 300 tu

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ni dhahiri kabisa Rais Biden afya yake ya akili imezorota sana.

Akiwa anatoa hotuba kasema kuna dozi za ziada bilioni 100 (badala ya kusema milioni 100) na zitakuwa kwajili ya wamarekani 300 (badala ya kusema wamarekani milioni 300), hakuishia hapo alikazia hiki alichokisema kwa kurudia kukisema.

Ila cha ajabu media inafanya kazi overtime kumsahisha, sipati picha ingekuwa ni raisi republican.

Holy cow !! america is being led by a senile

 
inawezekana wewe ndio hujaelewa alichomaanisha, ila kwa wenye kuelewa wanajua alikuwa anazungumzia population ya USA, watu milioni 300!!kama ungekuwa unafahamu population yao wala usingeleta uzi huu, kishabiki hivyo!!
Mkuu nimeweka video ya ushahidi hapo, au kiingereza huelewi?? kasema wamarekani 300 (tena karudia kwa msisitizo) sio milioni 300, na sio hicho tu kasema dozi bilioni 100 badala ya milioni 100...Kiufupi hajui anachoongea
 
Kama doctor wake amethibitisha basi sawa
huku tuendelee na cocktail
 
Tumpeleke jiwe awe anamsaidia kujua ingilishi
 
Mkuu nimeweka video ya ushahidi hapo, au kiingereza huelewi?? kasema wamarekani 300 sio milioni 300, na sio hicho tu kasema dozi bilioni 100 badala ya milioni 100...Kiufupi hajui anachoongea
Ndio maana nimekwambia sio kama hajasema 300!!ila kwa anayejua population ya USA, anajua tu kuwa alimanisha milioni 300!!inaonekana wewe ni mfuasi wa kiongozi aliyetaka kuleta mambo ya kiafrika kwa watu wenye akili zao!!
 
Ndio maana nimekwambia sio kama hajasema 300!!ila kwa anayejua population ya USA, anajua tu kuwa alimanisha milioni 300!!inaonekana wewe ni mfuasi wa kiongozi aliyetaka kuleta mambo ya kiafrika kwa watu wenye akili zao!!
Mkuu ndio shida inapoanza hapo, kumbuka raisi anapohutubia kuna hadi watoto ambao sio watu wazima kama mimi na wewe ambao tunaweza kujua kwamba raisi kakosea, Mtoto ambae hana elimu ya population, hii speach inamwingia moja kwa moja na kuichukulia kama ilivyo.

Na vipi kuhusu hizo dozi bilioni 100 badala ya kusema milioni 100?, vitu vipo plain and clear ila unatumia nguvu kubwa kuvipinga.

Kwa ufupi ni kwamba Biden tatizo lake la dimentia ni kubwa na hii sio mara ya kwanza maana hua anamchanganya mtoto wake wa kike kwamba ni mke wake, anapogombea uraisi alikuwa anachanganya kwamba anagombea useneta, akiwa kwenye kampeni alikuwa anasahau jimbo ambalo yupo, n.k na hata kupungia sehemu ambazo hazina watu imethibitika anaona vitu visivyoonekana (hallucinations)

Mimi nlidhani biden kaja kuwa bora zaidi kuliko raisi aliepita lakini naona kinachoendelea ni heri ya muhula uliopita.

Biden kazi imeanza kumshinda mapema mno na ashukuru media inatumia nguvu kubwa kumsahisha, sipati picha hii speech ingefanywa na raisi aliepita, huo moto ungekuwa ni mkubwa sana. kiasi kupelekea hata kutolewa madarakani kwa kuonekana ana matatizo ya afya ya akili.
 
Cha msingi trump matwita amesepa.

Hivi Trump alimaanisha nini kipindi kile amesema COVFEFE.
 
Cha msingi trump matwita amesepa.

Hivi Trump alimaanisha nini kipindi kile amesema COVFEFE.
Ni lini alisema covfee kwenye speech?

ila yote kwa yote huyo sioni kama kuna namna anahusishwa na huu uzi, Msianze kutoka nje ya maada 😁😁 Biden ana wakati mgumu sana huyu mzee, bila kusoma teleprompter au kuwa na ear piece sikioni hakuna kitu anaweza kukijenga akilini na kukitoa kinywani kwa ufasaha
 
Huyo sioni kama kuna namna anahusishwa na huu uzi, Msianze kutoka nje ya maada [emoji16][emoji16] Biden ana wakati mgumu sana huyu mzee, bila kusoma teleprompter au kuwa na ear piece sikioni hakuna kitu anaweza kukijenga akilini na jukitoa kinywani kwa ufasaha

No wonder ‘If you Google the word idiot, a picture of Donald Trump comes up’.
 
Ni lini alisema covfee kwenye speech?

ila yote kwa yote huyo sioni kama kuna namna anahusishwa na huu uzi, Msianze kutoka nje ya maada [emoji16][emoji16] Biden ana wakati mgumu sana huyu mzee, bila kusoma teleprompter au kuwa na ear piece sikioni hakuna kitu anaweza kukijenga akilini na kukitoa kinywani kwa ufasaha

Si bora hata angekosea kuongea kuliko kukosea kuandika Twitter hahah.
 
No wonder ‘If you Google the word idiot, a picture of Donald Trump comes up’.
Mkuu Donald Trump anaingiaje hii maada?

Trump anahusianaje kwa Biden kutoweza kutoa hotuba bila kuwa na ear piece sikioni, teleprompter ama kapisi ka karatasi ??

Trump anaingiaje humu wakati aliesema dozi bilioni 100 (badala ya milioni 100 ) zitawafikia watu 300 (badala ya milioni 300)

Huko google ambayo ni system inayoweza kusetiwa kwa commands za if, then, and, or, n.k zinazoamua mtu akisechi kitu flani basi kitu flani kitokee kunahusianaje na maada hii?

Ishu ni kumjadili Biden, the current president aliedhani anaweza kuwa president sio kwa cheo tu bali hata kiakili.
 
Hakuna Raisi hapo , na walimhujumu Tu trump , kimsingi Tu wanadamu wote tupo Sawa ukiyashangaa ya JPM utayaona ya Biden Raisi taahira mwenye matatizo ya akili..kazi ipo..Raisi anapoint mashoga kuna Raisi hapo wazee...alaf kuna boya mmoja humu anatulazimisha tukisie population ya marekani wakat si tunajadili speech ya boss na haisemi hvyo ....
 
Mkuu Donald Trump anaingiaje hii maada?

Trump anahusianaje kwa Biden kutoweza kutoa hotuba bila kuwa na ear piece sikioni, teleprompter ama kapisi ka karatasi ??

Trump anaingiaje humu wakati aliesema dozi bilioni 100 (badala ya milioni 100 ) zitawafikia watu 300 (badala ya milioni 300)

Huko google ambayo ni system inayoweza kusetiwa kwa commands za if, then, and, or, n.k zinazoamua mtu akisechi kitu flani basi kitu flani kitokee kunahusianaje na maada hii?

Ishu ni kumjadili Biden, the current president aliedhani anaweza kuwa president sio kwa cheo tu bali hata kiakili

Sasa mkuu kwanini tupangiane cha kuandika?

Mimi nimeona COVFEFE,wewe umeona bil 100 then shida iko wapi hapo?
 
Si bora hata angekosea kuongea kuliko kukosea kuandika Twitter hahah.
Msitafute benchmark ya makosa ya biden lwa kutumia kipimo kwa wengine a.k.a visingizio. Hivi kweli mtu anasema 300 people tena mara mbili, naona ni muda wa kupumzishwa huyu mzee kabla hata hajamaliza huu mwaka maana anahitaji matibabu ya ugonjwa wake wa dementia kuliko anavyotakiwa kwenye kiti cha uraisi, Aache hii kazi aende kwenye matibabu.
 
Msitafute benchmark ya makosa ya biden lwa kutumia kipimo kwa wengine a.k.a visingizio.....hivi kweli mtu anasema 300 people tena mara mbili, naona ni muda wa kupumzishwa huyu mzee kabla hata hajamaliza huu mwaka maana anahitaji matibabu ya ugonjwa wake wa dementia kuliko anavyotakiwa kwenye kiti cha uraisi, Aache hii kazi aende kwenye matibabu,

Hii kazi ataiacha 2024 wamarekani wakipenda,nadhani muda huo Trump a.k. Mr Clown kama Biden alivyomuita kwenye ule mdahalo atakua anapambana na diaper.
 
Sasa mkuu kwanini tupangiane cha kuandika?

Mimi nimeona COVFEFE,wewe umeona bil 100 then shida iko wapi hapo?
humu ndani tunaongelea current affairs mkuu sio uongo wa zamani mkuu😂😂.

Anyway ni muda mwafaka wa biden kuachia kiti marekani ampe mahakanubwa raisi, na hii lazima itokee tu maana biden ni mgonjwa sana.
 
humu ndani tunaongelea current affairs mkuu sio uongo wa zamani mkuu[emoji23][emoji23].

Anyway ni muda mwafaka wa biden kuachia kiti marekani ampe mahakanubwa raisi, na hii lazima itokee tu maana biden ni mgonjwa sana,

Hahah kwamba COVFEFE ni uongo wa zamani?
 
Hakuna Raisi hapo , na walimhujumu Tu trump , kimsingi Tu wanadamu wote tupo Sawa ukiyashangaa ya JPM utayaona ya Biden Raisi taahira mwenye matatizo ya akili, kazi ipo..Raisi anapoint mashoga kuna Raisi hapo wazee alaf kuna boya mmoja humu anatulazimisha tukisie population ya marekani wakat si tunajadili speech ya boss na haisemi hvyo.
Media wana kazi kubwa mno kumremba huyu raisi, Ashukuru media hizi za kujipendekeza kwa democrats zinamsahisha, naona huko youtube hizi media zilipomsahisha kwenye kichwa cha habari wamarekani wengi wamecomment kwamba media iwe inaripoti kilichosemwa na sio kumsahisha biden aonekane hana matatizo, Biden anahitaji matibabu kuzidi hiki cheo.
 
Back
Top Bottom