Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimekuambia lete source ila wewe unaleta kiswahili 😂😂 weka source yako hio ya covfee, itakua msaada hata kwako kujijua una matatizo ya masikio.Hahah kwamba COVFEFE ni uongo wa zamani?
Mkuu nimekuambia lete source ila wewe unaleta kiswahili [emoji23][emoji23] weka source yako hio ya covfee, itakua msaada hata kwako kujijua una matatizo ya masikio
Alichapia, ulimi ulimteleza ila sio kuongea kwa uhakika kama biden huki akiomgea vitu ambavyo vinaonesha ni wazi hajui anachokiongea.View attachment 1694743
View attachment 1694744
View attachment 1694745
Hakika bange ya kigoma ni noma sana.
cov-fe-fe kwa kiarabu maana yake ni i will stand up, shida iko wapi [emoji12][emoji12], tump alikuwa anacheza sana na media pia kuweka wazi double standarda tunazozozoina hapa kwa biden anaehishwa ila trump alipoitega media kwa kujikosesha mtamshi media haikumsahisha,
Any way muhusika wa hiki kipindi ni Biden, Sijui anaipeleka wapi marekani na huu ugonjwa wake ambao hata alipokua akigombea uraisi alikuwa anadhani anagombea ubunge
trump alikosea matamshi ya covid ndo kasema hio cov fe fe, hata shuleni nakumbuka kulikuwa na daftari la kila aliexhapia maneno kama Chemba na tenge badala ya temba na chege 😂😂 na bado bungeni wanachapia muheshimiwa spinga badala ya mheshimiwa spika basi watu wanacheka sana😂😂‘cov-fe-fe kwa kiarabu maana yake ni i will stand up, shida iko tump alikuwa anacheza sana na media’
Hakika madawa ya kulevya ni hatari sana kwa ustawi wa jamii.
trump alikosea matamshi ya covid ndo kasema hio cov fe fe, hata shuleni nakumbuka kulikuwa na daftari la kila aliexhapia maneno kama Chemba na tenge badala ya temba na chege [emoji23][emoji23] na bado bungeni wanachapia muheshimiwa spinga badala ya mheshimiwa spika basi watu wanacheka sana[emoji23][emoji23]
ika sasa tukirudi upande wa pili huyu
ambae hajateleza ulimi bali akili imehama, kayapatia matamshi kwa ufasaha ila kwa kadanganya watu kwamba kuna chanjo bilioni 100 kwajili ya watu 300 kitu ambacho sio kweli
Katika maelfu na maelfu ya tweets zake ni chache sana alikosea spelling huku baki tukijua alichomaanisha.Na haya maneno kule twitter alikua anamaanisha nini? "councel," "Barrack Obama," and "Capital Hill, "Marine core," the "smocking" gun.
Kweli US ilipata rais mwehu kabisa(2016-2020),khs Biden hakuna namna tena hapo subirini 2024 ndipo muanze kampeni za kumtoa.
Ila kwa sasa ni mwendo wa COVFEFE tu.
Social media📺 zinawabeba sanaTutaona mengi, huu ni mwanzo tu
Hivi wewe unaweza kuwa na akili kuliko biden?Mkuu nimeweka video ya ushahidi hapo, au kiingereza huelewi?? kasema wamarekani 300 (tena karudia kwa msisitizo) sio milioni 300, na sio hicho tu kasema dozi bilioni 100 badala ya milioni 100...Kiufupi hajui anachoongea
Biden ni mzee kwahiyo wewe ulitakaje ??Mkuu Donald Trump anaingiaje hii maada?
Trump anahusianaje kwa Biden kutoweza kutoa hotuba bila kuwa na ear piece sikioni, teleprompter ama kapisi ka karatasi ??
Trump anaingiaje humu wakati aliesema dozi bilioni 100 (badala ya milioni 100 ) zitawafikia watu 300 (badala ya milioni 300)
Huko google ambayo ni system inayoweza kusetiwa kwa commands za if, then, and, or, n.k zinazoamua mtu akisechi kitu flani basi kitu flani kitokee kunahusianaje na maada hii?
Ishu ni kumjadili Biden, the current president aliedhani anaweza kuwa president sio kwa cheo tu bali hata kiakili
Hiyo ni typing error tu.alichapia, ulimi ulimteleza ila sio kuongea kwa uhakika kama biden huki akiomgea vitu ambavyo vinaonesha ni wazi hajui anachokiongea.
trump alichapia covid ulimi ulimteleza akaitamka cov-fe-fe,
wengine tulizani kaongra kiarabu , neno hili maana yake ni i will stand up, 😜😜,
tump pia alikuwa anacheza sana na media pia kuweka wazi double standarda tunazozozoina hapa kwa biden anasahishwa uongo ila trump alipoitega media kwa kukosea tu matamshi ya neno media haikumsahisha,
Hata shuleni mwalimu anaweza kukosea matamshi, mfano akasema moja kujumlisha moja ni mbilo, wanafunzi wakacheka kwasababu kavhapia mbili kaisema mbilo, ila alichofanya biden hana utofauti na mwalimu anaetaka kudanganya wananfunzu moja kujumlisha moja ni tatu, tena hio tatu anairudia kwa msisitizo 😜😜
Any way muhusika wa hiki kipindi ni Biden, Sijui anaipeleka wapi marekani na huu ugonjwa wake ambao hata alipokua akigombea uraisi alikuwa anadhani anagombea ubunge
....Kwa hiyo Mkuu kwa Kosa dogo hilo la kibinadamu la kukosea kutaja Takwimu umeishaliamulia kwamba Afya ya Biden ya Akili Imezorota Sana???Ni dhahiri kabisa Rais Biden afya yake ya akili imezorota sana.
Akiwa anatoa hotuba kasema kuna dozi za ziada bilioni 100 (badala ya kusema milioni 100) na zitakuwa kwajili ya wamarekani 00 (badala ya kusema wamarekani milioni 300), hakuishia hapo alikazia hiki alichokisema kwa kurudia kukisema.
Ila cha ajabu media inafanya kazi overtime kumsahisha, sipati picha ingekuwa ni raisi republican.
Holy cow !! america is being led by a senile
....Pamoja na Yoote hayo Wamarekani Wakamchagua awe raising Wao!Mkuu ndio shida inapoanza hapo, kumbuka raisi anapohutubia kuna hadi watoto ambao sio watu wazima kama mimi na wewe ambao tunaweza kujua kwamba raisi kakosea, Mtoto ambae hana elimu ya population, hii speach inamwingia moja kwa moja na kuichukulia kama ilivyo.
Na vipi kuhusu hizo dozi bilioni 100 badala ya kusema milioni 100?, vitu vipo plain and clear ila unatumia nguvu kubwa kuvipinga.
Kwa ufupi ni kwamba Biden tatizo lake la dimentia ni kubwa na hii sio mara ya kwanza maana hua anamchanganya mtoto wake wa kike kwamba ni mke wake, anapogombea uraisi alikuwa anachanganya kwamba anagombea useneta, akiwa kwenye kampeni alikuwa anasahau jimbo ambalo yupo, n.k na hata kupungia sehemu ambazo hazina watu imethibitika anaona vitu visivyoonekana (hallucinations)
Mimi nlidhani biden kaja kuwa bora zaidi kuliko raisi aliepita lakini naona kinachoendelea ni heri ya muhula uliopita.
Biden kazi imeanza kumshinda mapema mno na ashukuru media inatumia nguvu kubwa kumsahisha, sipati picha hii speech ingefanywa na raisi aliepita, huo moto ungekuwa ni mkubwa sana. kiasi kupelekea hata kutolewa madarakani kwa kuonekana ana matatizo ya afya ya akili.
Sasa mkuu kusema hivyo tu huwezi ku conclude kuwa kazi imemshinda!!na eti hotuba zake mala nyingi anachanganya mambo!!basi kama ingekuwa hivyo MEKO, sijui tumuite atakuwa na ugonjwa gani??kwani hotuba zake nadhani ndio zinaongoza kuwa zinaji contradict duniani!!leo anasema hivi , kesho jambo hilo hilo anasema vingine sijui tuuite huu ni ugonjwa gani!!!na anasahau kabisa jana alisema vipi?na je kuna chombo cha habari chochote kinachoandika?!mtu anasema mbona chanjo ya malaria hawaitoi?!!!!!!!!Mkuu ndio shida inapoanza hapo, kumbuka raisi anapohutubia kuna hadi watoto ambao sio watu wazima kama mimi na wewe ambao tunaweza kujua kwamba raisi kakosea, Mtoto ambae hana elimu ya population, hii speach inamwingia moja kwa moja na kuichukulia kama ilivyo.
Na vipi kuhusu hizo dozi bilioni 100 badala ya kusema milioni 100?, vitu vipo plain and clear ila unatumia nguvu kubwa kuvipinga.
Kwa ufupi ni kwamba Biden tatizo lake la dimentia ni kubwa na hii sio mara ya kwanza maana hua anamchanganya mtoto wake wa kike kwamba ni mke wake, anapogombea uraisi alikuwa anachanganya kwamba anagombea useneta, akiwa kwenye kampeni alikuwa anasahau jimbo ambalo yupo, n.k na hata kupungia sehemu ambazo hazina watu imethibitika anaona vitu visivyoonekana (hallucinations)
Mimi nlidhani biden kaja kuwa bora zaidi kuliko raisi aliepita lakini naona kinachoendelea ni heri ya muhula uliopita.
Biden kazi imeanza kumshinda mapema mno na ashukuru media inatumia nguvu kubwa kumsahisha, sipati picha hii speech ingefanywa na raisi aliepita, huo moto ungekuwa ni mkubwa sana. kiasi kupelekea hata kutolewa madarakani kwa kuonekana ana matatizo ya afya ya akili.
Wenye kuelewa , mbona wameshaelewa tu, alimanisha nini!!ila ni lazima uwe na uelewa wa ziada lakini kama uwezo wako ni mdogo huwezi jua hiyo mantic yake!!hata kama unachuki naye, sio kwa vitu vidogo kama hivyo!!yeye anateua "MASHOGA" lakini wana deliver watu wanachohitaji, hapa kila siku wanateuliwa maaskofu/wacha mungu ,kuwa wabunge/mawaziri kuna nini la maana wamekifanya?!!zaidi ya kuwa upande wa watawala?!!Hakuna Raisi hapo , na walimhujumu Tu trump , kimsingi Tu wanadamu wote tupo Sawa ukiyashangaa ya JPM utayaona ya Biden Raisi taahira mwenye matatizo ya akili..kazi ipo..Raisi anapoint mashoga kuna Raisi hapo wazee...alaf kuna boya mmoja humu anatulazimisha tukisie population ya marekani wakat si tunajadili speech ya boss na haisemi hvyo ....
Upo kwenye public alaf unawapa watu assignment ya kugundua mantik yako ,? we ni mtu wa hovyo sijawah ona , unatuletea kinyesi alaf unatwambia nataka mjue madhara ya harufu ya mavi ,hebu Acha uhuni basi ...Wenye kuelewa , mbona wameshaelewa tu, alimanisha nini!!ila ni lazima uwe na uelewa wa ziada lakini kama uwezo wako ni mdogo huwezi jua hiyo mantic yake!!hata kama unachuki naye, sio kwa vitu vidogo kama hivyo!!yeye anateua "MASHOGA" lakini wana deliver watu wanachohitaji, hapa kila siku wanateuliwa maaskofu/wacha mungu ,kuwa wabunge/mawaziri kuna nini la maana wamekifanya?!!zaidi ya kuwa upande wa watawala?!!
Sasa Republican wanasubiri nini kumtoa?Biden kazi imeanza kumshinda mapema mno na ashukuru media inatumia nguvu kubwa kumsahisha, sipati picha hii speech ingefanywa na raisi aliepita, huo moto ungekuwa ni mkubwa sana. kiasi kupelekea hata kutolewa madarakani kwa kuonekana ana matatizo ya afya ya akili.
Naungana na wewe mkuu hata mi niliona toka mwanzo ni kama anatatizo pia la kusahau, labda umri unaleta shidaMkuu ndio shida inapoanza hapo, kumbuka raisi anapohutubia kuna hadi watoto ambao sio watu wazima kama mimi na wewe ambao tunaweza kujua kwamba raisi kakosea, Mtoto ambae hana elimu ya population, hii speach inamwingia moja kwa moja na kuichukulia kama ilivyo.