Sioni shida hapo, maana alichapia, kuchapia maneno mbona kawaida sana, hata bungeni wapo wanaochapia kumwita spika kwamba ni spinga 😂😂.
Ishu inakuja mtu hachapii maneno bali anaongea facts ambazo hazipo na hazitakuja kuwepi,
badala ya kusema wamarekani milioni
300 kasema wamarekani 300 watamaliza dozi bilioni 100
badala ya kusema dozi milioni 100 kasema dozi bilioni 100
Covfefe ilisambaa sana ile😂😂 kaulimi kaliteleza lakni sio akili kuhama, covfefe 😂😂😂 ni jana tu kuna mtu kasema bengi ya nmb badala ya benki ya nmb tumecheka sana ofisini 😂😂