sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mkuu nimeweka video ya ushahidi hapo, au kiingereza huelewi?? kasema wamarekani 300 (tena karudia kwa msisitizo) sio milioni 300, na sio hicho tu kasema dozi bilioni 100 badala ya milioni 100...Kiufupi hajui anachoongeainawezekana wewe ndio hujaelewa alichomaanisha, ila kwa wenye kuelewa wanajua alikuwa anazungumzia population ya USA, watu milioni 300!!kama ungekuwa unafahamu population yao wala usingeleta uzi huu, kishabiki hivyo!!
Ndio maana nimekwambia sio kama hajasema 300!!ila kwa anayejua population ya USA, anajua tu kuwa alimanisha milioni 300!!inaonekana wewe ni mfuasi wa kiongozi aliyetaka kuleta mambo ya kiafrika kwa watu wenye akili zao!!Mkuu nimeweka video ya ushahidi hapo, au kiingereza huelewi?? kasema wamarekani 300 sio milioni 300, na sio hicho tu kasema dozi bilioni 100 badala ya milioni 100...Kiufupi hajui anachoongea
Mkuu ndio shida inapoanza hapo, kumbuka raisi anapohutubia kuna hadi watoto ambao sio watu wazima kama mimi na wewe ambao tunaweza kujua kwamba raisi kakosea, Mtoto ambae hana elimu ya population, hii speach inamwingia moja kwa moja na kuichukulia kama ilivyo.Ndio maana nimekwambia sio kama hajasema 300!!ila kwa anayejua population ya USA, anajua tu kuwa alimanisha milioni 300!!inaonekana wewe ni mfuasi wa kiongozi aliyetaka kuleta mambo ya kiafrika kwa watu wenye akili zao!!
Ni lini alisema covfee kwenye speech?Cha msingi trump matwita amesepa.
Hivi Trump alimaanisha nini kipindi kile amesema COVFEFE.
Huyo sioni kama kuna namna anahusishwa na huu uzi, Msianze kutoka nje ya maada [emoji16][emoji16] Biden ana wakati mgumu sana huyu mzee, bila kusoma teleprompter au kuwa na ear piece sikioni hakuna kitu anaweza kukijenga akilini na jukitoa kinywani kwa ufasaha
Ni lini alisema covfee kwenye speech?
ila yote kwa yote huyo sioni kama kuna namna anahusishwa na huu uzi, Msianze kutoka nje ya maada [emoji16][emoji16] Biden ana wakati mgumu sana huyu mzee, bila kusoma teleprompter au kuwa na ear piece sikioni hakuna kitu anaweza kukijenga akilini na kukitoa kinywani kwa ufasaha
Mkuu Donald Trump anaingiaje hii maada?No wonder ‘If you Google the word idiot, a picture of Donald Trump comes up’.
Mkuu Donald Trump anaingiaje hii maada?
Trump anahusianaje kwa Biden kutoweza kutoa hotuba bila kuwa na ear piece sikioni, teleprompter ama kapisi ka karatasi ??
Trump anaingiaje humu wakati aliesema dozi bilioni 100 (badala ya milioni 100 ) zitawafikia watu 300 (badala ya milioni 300)
Huko google ambayo ni system inayoweza kusetiwa kwa commands za if, then, and, or, n.k zinazoamua mtu akisechi kitu flani basi kitu flani kitokee kunahusianaje na maada hii?
Ishu ni kumjadili Biden, the current president aliedhani anaweza kuwa president sio kwa cheo tu bali hata kiakili
Msitafute benchmark ya makosa ya biden lwa kutumia kipimo kwa wengine a.k.a visingizio. Hivi kweli mtu anasema 300 people tena mara mbili, naona ni muda wa kupumzishwa huyu mzee kabla hata hajamaliza huu mwaka maana anahitaji matibabu ya ugonjwa wake wa dementia kuliko anavyotakiwa kwenye kiti cha uraisi, Aache hii kazi aende kwenye matibabu.Si bora hata angekosea kuongea kuliko kukosea kuandika Twitter hahah.
Msitafute benchmark ya makosa ya biden lwa kutumia kipimo kwa wengine a.k.a visingizio.....hivi kweli mtu anasema 300 people tena mara mbili, naona ni muda wa kupumzishwa huyu mzee kabla hata hajamaliza huu mwaka maana anahitaji matibabu ya ugonjwa wake wa dementia kuliko anavyotakiwa kwenye kiti cha uraisi, Aache hii kazi aende kwenye matibabu,
humu ndani tunaongelea current affairs mkuu sio uongo wa zamani mkuu😂😂.Sasa mkuu kwanini tupangiane cha kuandika?
Mimi nimeona COVFEFE,wewe umeona bil 100 then shida iko wapi hapo?
humu ndani tunaongelea current affairs mkuu sio uongo wa zamani mkuu[emoji23][emoji23].
Anyway ni muda mwafaka wa biden kuachia kiti marekani ampe mahakanubwa raisi, na hii lazima itokee tu maana biden ni mgonjwa sana,
Media wana kazi kubwa mno kumremba huyu raisi, Ashukuru media hizi za kujipendekeza kwa democrats zinamsahisha, naona huko youtube hizi media zilipomsahisha kwenye kichwa cha habari wamarekani wengi wamecomment kwamba media iwe inaripoti kilichosemwa na sio kumsahisha biden aonekane hana matatizo, Biden anahitaji matibabu kuzidi hiki cheo.Hakuna Raisi hapo , na walimhujumu Tu trump , kimsingi Tu wanadamu wote tupo Sawa ukiyashangaa ya JPM utayaona ya Biden Raisi taahira mwenye matatizo ya akili, kazi ipo..Raisi anapoint mashoga kuna Raisi hapo wazee alaf kuna boya mmoja humu anatulazimisha tukisie population ya marekani wakat si tunajadili speech ya boss na haisemi hvyo.