Aibu tupu: Biden asema kuna dozi bilini100 kwa ajili ya Wamarekani 300 tu

wataongeza nyingine kwa ajiri ya ufipa watakaohitaji kuchanjwa.
 
Hahah kwamba COVFEFE ni uongo wa zamani?
Mkuu nimekuambia lete source ila wewe unaleta kiswahili 😂😂 weka source yako hio ya covfee, itakua msaada hata kwako kujijua una matatizo ya masikio.
 
Mkuu nimekuambia lete source ila wewe unaleta kiswahili [emoji23][emoji23] weka source yako hio ya covfee, itakua msaada hata kwako kujijua una matatizo ya masikio




Hakika bange ya kigoma ni noma sana.
 
Alichapia, ulimi ulimteleza ila sio kuongea kwa uhakika kama biden huki akiomgea vitu ambavyo vinaonesha ni wazi hajui anachokiongea.

Trump alichapia covid ulimi ulimteleza akaitamka cov-fe-fe, wengine tulizani kaongra kiarabu , neno hili maana yake ni i will stand up, 😜😜,

Trump pia alikuwa anacheza sana na media pia kuweka wazi double standarda tunazozozoina hapa kwa biden anasahishwa uongo ila trump alipoitega media kwa kukosea tu matamshi ya neno media haikumsahisha,

Hata shuleni mwalimu anaweza kukosea matamshi, mfano akasema moja kujumlisha moja ni mbilo, wanafunzi wakacheka kwasababu kavhapia mbili kaisema mbilo, ila alichofanya biden hana utofauti na mwalimu anaetaka kudanganya wananfunzu moja kujumlisha moja ni tatu, tena hio tatu anairudia kwa msisitizo 😜😜

Any way muhusika wa hiki kipindi ni Biden, Sijui anaipeleka wapi marekani na huu ugonjwa wake ambao hata alipokua akigombea uraisi alikuwa anadhani anagombea ubunge
 

‘cov-fe-fe kwa kiarabu maana yake ni i will stand up, shida iko tump alikuwa anacheza sana na media’

Hakika madawa ya kulevya ni hatari sana kwa ustawi wa jamii.
 
‘cov-fe-fe kwa kiarabu maana yake ni i will stand up, shida iko tump alikuwa anacheza sana na media’

Hakika madawa ya kulevya ni hatari sana kwa ustawi wa jamii.
trump alikosea matamshi ya covid ndo kasema hio cov fe fe, hata shuleni nakumbuka kulikuwa na daftari la kila aliexhapia maneno kama Chemba na tenge badala ya temba na chege 😂😂 na bado bungeni wanachapia muheshimiwa spinga badala ya mheshimiwa spika basi watu wanacheka sana😂😂

ika sasa tukirudi upande wa pili huyu
ambae hajateleza ulimi bali akili imehama, kayapatia matamshi kwa ufasaha ila kwa kadanganya watu kwamba kuna chanjo bilioni 100 kwajili ya watu 300 kitu ambacho sio kweli
 

Na haya maneno kule twitter alikua anamaanisha nini? "councel," "Barrack Obama," and "Capital Hill, "Marine core," the "smocking" gun.

Kweli US ilipata rais mwehu kabisa(2016-2020),khs Biden hakuna namna tena hapo subirini 2024 ndipo muanze kampeni za kumtoa.

Ila kwa sasa ni mwendo wa COVFEFE tu.
 
Katika maelfu na maelfu ya tweets zake ni chache sana alikosea spelling huku baki tukijua alichomaanisha.

hii haina madhara yoyote yanayokaribiana na hiki biden alichokisema kwa ufasaha ila hakina chembe ya ukweli.

Hata shuleni mwalimu anaweza kukosea matamshi, mfano akasema moja kujumlisha moja ni mbilo, wanafunzi wakacheka kwasababu kachapia mbili kaisema mbilo, ila alichofanya biden hana utofauti na mwalimu anaetaka kudanganya wananfunzi kwamba moja kujumlisha moja ni tatu, tena hio tatu anairudia kwa msisitizo 😜😜

Raisi gani huyu 😂😂 dozi bilioni 100 zitapewa kwa wamarekani 300, jamani waandishi narudia, ni wamarekani 300..…..si heri mara 10 angechapia hata matamshi kusema imirica badala ya america kuliko kujiaibisha kiasi hiki.
 
Mkuu nimeweka video ya ushahidi hapo, au kiingereza huelewi?? kasema wamarekani 300 (tena karudia kwa msisitizo) sio milioni 300, na sio hicho tu kasema dozi bilioni 100 badala ya milioni 100...Kiufupi hajui anachoongea
Hivi wewe unaweza kuwa na akili kuliko biden?
 
Biden ni mzee kwahiyo wewe ulitakaje ??

Yale yale ya Obama aliyekuwa anakosolewa kwa kutembea muda wote ameshikana mkono na Michelle, kuvaa suti bila kuwekwa kibendera etc

Vitu vingine ni vidogo vidogo sana vya kibinadamu ambavyo havina athari kabisa kwa watu. Take it easy nigga!
 
Hiyo ni typing error tu.
 
....Kwa hiyo Mkuu kwa Kosa dogo hilo la kibinadamu la kukosea kutaja Takwimu umeishaliamulia kwamba Afya ya Biden ya Akili Imezorota Sana???

Wewe mdomo wako haujawahi kukosea maishani mwako??
Ulipokosea watu waliamua wewe ni Senile??

Hebu weka hapa kasoro zake nyingine mbili tatu ili tukubaliane na hoja yako kwamba rais wa Taifa kubwa la Marekani ni Senile![emoji53][emoji53][emoji53]
 
....Pamoja na Yoote hayo Wamarekani Wakamchagua awe raising Wao!
Hawakuyaona?
Ama na wrote no Jingaz kumchagua raising ambaye kwa muenekano wako wewe Mtanzania in Senile! Kweli? [emoji848]
 
Sasa mkuu kusema hivyo tu huwezi ku conclude kuwa kazi imemshinda!!na eti hotuba zake mala nyingi anachanganya mambo!!basi kama ingekuwa hivyo MEKO, sijui tumuite atakuwa na ugonjwa gani??kwani hotuba zake nadhani ndio zinaongoza kuwa zinaji contradict duniani!!leo anasema hivi , kesho jambo hilo hilo anasema vingine sijui tuuite huu ni ugonjwa gani!!!na anasahau kabisa jana alisema vipi?na je kuna chombo cha habari chochote kinachoandika?!mtu anasema mbona chanjo ya malaria hawaitoi?!!!!!!!!
 
Wenye kuelewa , mbona wameshaelewa tu, alimanisha nini!!ila ni lazima uwe na uelewa wa ziada lakini kama uwezo wako ni mdogo huwezi jua hiyo mantic yake!!hata kama unachuki naye, sio kwa vitu vidogo kama hivyo!!yeye anateua "MASHOGA" lakini wana deliver watu wanachohitaji, hapa kila siku wanateuliwa maaskofu/wacha mungu ,kuwa wabunge/mawaziri kuna nini la maana wamekifanya?!!zaidi ya kuwa upande wa watawala?!!
 
Upo kwenye public alaf unawapa watu assignment ya kugundua mantik yako ,? we ni mtu wa hovyo sijawah ona , unatuletea kinyesi alaf unatwambia nataka mjue madhara ya harufu ya mavi ,hebu Acha uhuni basi ...
 
Sasa Republican wanasubiri nini kumtoa?
 
Naungana na wewe mkuu hata mi niliona toka mwanzo ni kama anatatizo pia la kusahau, labda umri unaleta shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…