KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Alitamka kinagaubaga COVFEFE. Period!Ni lini alisema covfee kwenye speech?
ila yote kwa yote huyo sioni kama kuna namna anahusishwa na huu uzi, Msianze kutoka nje ya maada ππ Biden ana wakati mgumu sana huyu mzee, bila kusoma teleprompter au kuwa na ear piece sikioni hakuna kitu anaweza kukijenga akilini na kukitoa kinywani kwa ufasaha
kwa upande wa Trump sioni shida hapo, maana alichapia, kuchapia maneno mbona kawaida sana, hata bungeni wapo wanaochapia kumwita spika kwamba ni spinga ππ.Alitamka kinagaubaga COVFEFE. Period!
Sasa kama umesema population ya USA inaeleweka,kwa nini Biden akosee kitu kidogo hivyo tena anarudia mara mbili??.Kwa Taarifa tu hata wanaopimwa ugonjwa wa kusahau huwa hawapimwi kwa vitu vikubwa,wanapimwa kwa mambo common madogo madogo tu...Kuna kukosea kama ulimi kuteleza mara moja ila ukisharudia mara ya pili lazima kuna walakiniNdio maana nimekwambia sio kama hajasema 300!!ila kwa anayejua population ya USA, anajua tu kuwa alimanisha milioni 300!!inaonekana wewe ni mfuasi wa kiongozi aliyetaka kuleta mambo ya kiafrika kwa watu wenye akili zao!!
Una elimu gani??,Hilo neno kukosewa lilibadilisha nini kwenye alichokuwa anamaanisha??...Kwenye kuandika kuna typing error na kwenye kuongea kuna ulimi kuteleza au kuchapia,kuchapia huwa tunachapia neno moja tu na sio vinginevyo.Ila ukishaanza kuchapia sentensi nzima tena unarudia mara mbili na huku ushatumia masaa ma 2 ku kuanya rehearsal ya speech.,Its clearly kuna tatizo sehemu kichwani kwako...Hahah kwamba COVFEFE ni uongo wa zamani?
Tumia tu common sense tuweke siasa pembeni,hivi kweli Joe ana physical and mental energy aliyonayo Trump??...Alitamka kinagaubaga COVFEFE. Period!
Tatizo lenu mna kuwa kila kitu mnaleta ushabiki mandazi wa yanga na simba ule "NGOJA TUONE MORRISON ATACHEZA AU HACHEZI" asicheze kwa sheria gani?yanga watamlipa tambwe au wata dindaaa!!!hata MEKO alipotaka kujing'ata ulimi kwa kutaka kutamka neno entrepreneurship, japo alishindwa kulitamka lakini watu walielewa mantic yake ilikuwa ni nini!!Upo kwenye public alaf unawapa watu assignment ya kugundua mantik yako ,? we ni mtu wa hovyo sijawah ona , unatuletea kinyesi alaf unatwambia nataka mjue madhara ya harufu ya mavi ,hebu Acha uhuni basi ...
Upo kwenye public alaf unawapa watu assignment ya kugundua mantik yako ,? we ni mtu wa hovyo sijawah ona , unatuletea kinyesi alaf unatwambia nataka mjue madhara ya harufu ya mavi ,hebu Acha uhuni basi ...
Tumia tu common sense tuweke siasa pembeni,hivi kweli Joe ana physical and mental energy aliyonayo Trump??...
Una elimu gani??,Hilo neno kukosewa lilibadilisha nini kwenye alichokuwa anamaanisha??...Kwenye kuandika kuna typing error na kwenye kuongea kuna ulimi kuteleza au kuchapia,kuchapia huwa tunachapia neno moja tu na sio vinginevyo.Ila ukishaanza kuchapia sentensi nzima tena unarudia mara mbili na huku ushatumia masaa ma 2 ku kuanya rehearsal ya speech.,Its clearly kuna tatizo sehemu kichwani kwako...
Asante. Alichapia.Sioni shida hapo, maana alichapia, kuchapia maneno mbona kawaida sana, hata bungeni wapo wanaochapia kumwita spika kwamba ni spinga ππ.
Ishu inakuja mtu hachapii maneno bali anaongea facts ambazo hazipo na hazitakuja kuwepi,
badala ya kusema wamarekani milioni
300 kasema wamarekani 300 watamaliza dozi bilioni 100
badala ya kusema dozi milioni 100 kasema dozi bilioni 100
Covfefe ilisambaa sana ileππ kaulimi kaliteleza lakni sio akili kuhama, covfefe πππ ni jana tu kuna mtu kasema bengi ya nmb badala ya benki ya nmb tumecheka sana ofisini ππ
Kumbuka kachaguliwa mwaka 2020 huyu lazima ile laana itimie kwa hio akimaliza mwaka huu bahati sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Msitafute benchmark ya makosa ya biden lwa kutumia kipimo kwa wengine a.k.a visingizio. Hivi kweli mtu anasema 300 people tena mara mbili, naona ni muda wa kupumzishwa huyu mzee kabla hata hajamaliza huu mwaka maana anahitaji matibabu ya ugonjwa wake wa dementia kuliko anavyotakiwa kwenye kiti cha uraisi, Aache hii kazi aende kwenye matibabu.
Plus wanzuki mkuuView attachment 1694743
View attachment 1694744
View attachment 1694745
Hakika bange ya kigoma ni noma sana.
CCM bwana,Ni dhahiri kabisa Rais Biden afya yake ya akili imezorota sana.
Akiwa anatoa hotuba kasema kuna dozi za ziada bilioni 100 (badala ya kusema milioni 100) na zitakuwa kwajili ya wamarekani 300 (badala ya kusema wamarekani milioni 300), hakuishia hapo alikazia hiki alichokisema kwa kurudia kukisema.
Ila cha ajabu media inafanya kazi overtime kumsahisha, sipati picha ingekuwa ni raisi republican.
Holy cow !! america is being led by a senile
Sasa mzee mpaka wamarekan wenyew wanamrekebisha wewe ulie huko kwenu buza unasema hajakosea....haya endelea kuamin hivyoNdio maana nimekwambia sio kama hajasema 300!!ila kwa anayejua population ya USA, anajua tu kuwa alimanisha milioni 300!!inaonekana wewe ni mfuasi wa kiongozi aliyetaka kuleta mambo ya kiafrika kwa watu wenye akili zao!!
Sa
Sasa mzee mpaka wamarekan wenyew wanamrekebisha wewe ulie huko kwenu buza unasema hajakosea....haya endelea k
uamin hivyo
Inshu sio kuwa wamarekani wanamrekebisha, kwani hakuna wamarekani MBUGILA MBUGILA KAMA WEWE?!!lakini wenye uelewa wao walishajua kuwa alimanisha nini, kuna kosa la kimatamshi, lakini mantiki inaeleweka!!sasa kuielewa mantiki hiyo lazima uwe muelewa wa jambo hilo.Sa
Sasa mzee mpaka wamarekan wenyew wanamrekebisha wewe ulie huko kwenu buza unasema hajakosea....haya endelea kuamin hivyo
ww ni raia wa america? au unalalama wkt uko tandale?Hakuna Raisi hapo , na walimhujumu Tu trump , kimsingi Tu wanadamu wote tupo Sawa ukiyashangaa ya JPM utayaona ya Biden Raisi taahira mwenye matatizo ya akili..kazi ipo..Raisi anapoint mashoga kuna Raisi hapo wazee...alaf kuna boya mmoja humu anatulazimisha tukisie population ya marekani wakat si tunajadili speech ya boss na haisemi hvyo ....