Aibu tupu!! Vyuo vya Tanzania mtu anasoma masomo ya biashara miaka mitatu na kulipa almost milioni 5 lakini hajui hata kufungua biashara

Hii nchi ukiwa msomi inabidi ujiandae kuonekana hujui mambo. Mifumo ya Elimu ipo more theoretically.
 
kikubwa kinachoshangaza nikuwa, mtu alieishia la saba au form iv confidence yake ni kubwa sana anapokua amejitosa kwenye boashara, hawa walitoka chuo confidence yake ni low kupindukia, hawachelewi kufunga biashara wakaanza kuranda na vyeti kwenye bahasha.
Ni kwamba la saba lazima awe na confidence kwa sababu hana chaguo .
 
Yani hawa wahitimu wakitaka kuanza biashara unaweza kudhani hata hawakufika chuo, hawajui process za kufungua biashara hadi wafundishwe na wafanyabiashara,

Mhitimu anamaliza chuo hana Tin Namba inayotolewa bure kabisa.

Mhitimu anamaliza chuo hana habari na Brela, na hata akiambiwa inabidi kwanza asajili jina la biashara, hawezi kujisajili mwenyewe, inabidi aende stationery alipe hela asaidiwe.

Mhitimu anamaliza chuo hawezi kujiombea leseni ya biashara hadi ashikwe mkono, wengi hata Mfumo wa Tausi wa kuomba leseni online hawaujui, inabidi waende stationery walipe hela wasaidiwe.

Mhitimu anamaliza chuo hajui process za kuipata tax clearance, inabidi aanze kuulizia kwa wengine ama asaidiwe na vishoka.

Mhitimu anamaliza chuo kafunzwa vipimo vya kodi vya 2004

Mwalimu wa chuoni wa ujasiriamali anategemea mshahara ku survive ama ana kaduka ka sidiria kuzugia kwamba ni mjasiriamali.
Tofautisha masomo ya biashara (commerce and Business Administration) na mafunzo ya Ujasiliamali (Entrepreneurship). Commerce and Business Administration wanasoma maeneo kama uhasibu, Masoko, Uendeshaji wa Bima (Insurance), Uendeshaji wa Benki (Banking), Usimamizi wa Fedha (Finance). Mtu akimaliza digrii ya biashara pekee siyo lazima akupe njia za ujasiliamali. Vyoo vingi vya Marekani hue eka digrii ndogo (Minor degree) ya ujasiriamali kuwasaidia graduate kuanzisha biashara zao katika mazingira ya kisasa. Kwenye kodi za ujasiliamali Ngoako wanakofundisha sheria na taratibu za kuanzisha biashara, njia za kutafuta mitaji na mbinu za kujijingea soko. Hizi digrii ndogo za ujasiliamali zinatolewa kwa mtu yoyote anayetaka: engineering, medicine, commerce, law, agriculture, education n. k.
 
Watu kibao wanaosoma Us na ulaya wakirudi bongo huwa wana anzisha biashara zao, wapo wengi wanaoacha hata ajira, Elimu za wezetu zinafungua sana vichwa + exposure. Mfano moja wapo ni Mengi alikuwa na ajira safi sana akiwa mtu wa kwanza kupata cpa hapa nchini lakini baada ya muda akaingia kwenye business.
 
Watu kibao wanaosoma Us na ulaya wakirudi bongo huwa wana anzisha biashara zao, wapo wengi wanaoacha hata ajira, Elimu za wezetu zinafungua sana vichwa + exposure. Mfano moja wapo ni Mengi alikuwa na ajira safi sana akiwa mtu wa kwanza kupata cpa hapa nchini lakini alipiga chini ajira.
Hawamalizi masomo ya biashara tu na kuanzisha biashara. Wengine kufanya kazi katika makampuni ya huko na kujipatia knowledge na experience ya kuanzisha na kuendesha biashara. Ikiwa angalia hao unawatumia kama case study yako wanatoka kwenye background mbalimbali siyo tu kuwa walisoma commerce. Wengine hawa kwenda college kabisa Bali walikuwa wakifanya kazi katika kampuni walikojipatia ujuzi wa biashara
 
Yani hawa wahitimu wakitaka kuanza biashara unaweza kudhani hata hawakufika chuo, Unakuta mhitimu ana Diploma au Degree ya Business Administraion au Business Management lakini hawezi kufanya haya mambo ya kawaida, inabidi aelekezwe huko kwenye stationery tena wakati fulani anaelekezwa na mtu ambaye wala hajafika level yako ya elimu.

Mhitimu anamaliza chuo hana Tin Namba inayotolewa bure kabisa.

Mhitimu anamaliza chuo hana habari na Brela, na hata akiambiwa inabidi kwanza asajili jina la biashara, hawezi kujisajili mwenyewe, inabidi aende stationery alipe hela asaidiwe.

Mhitimu anamaliza chuo hawezi kujiombea leseni ya biashara hadi ashikwe mkono, wengi hata Mfumo wa Tausi wa kuomba leseni online hawaujui, inabidi waende stationery walipe hela wasaidiwe.

Mhitimu anaenda TRA kichwa kichwa kuomba kusajiliwa biashara bila mkataba wa frem, ni kwamba hakufundishwa inabidi afike huko aambiwe arudi kuufata

Mhitimu anamaliza chuo hajui process za kuipata tax clearance, inabidi aanze kuulizia kwa wengine ama asaidiwe na vishoka.

Mhitimu anamaliza chuo kafunzwa vipimo vya kodi vya 2004

Mwalimu wa chuoni wa ujasiriamali anategemea mshahara ku survive ama ana kaduka ka sidiria kuzugia kwamba ni mjasiriamali.
Nyie si mlisema elimu ya makaratasi haifanyi kazi mtaani, Kulikoni tena?
 
Back
Top Bottom