Wewe nakutambua vizuri na ulibakizwa kama TA 2024, kwa kuja kulalamika uongo hapa, umejiponza.Siyo mimi ndugu, Mimi ni GenX kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nakutambua vizuri na ulibakizwa kama TA 2024, kwa kuja kulalamika uongo hapa, umejiponza.Siyo mimi ndugu, Mimi ni GenX kabisa.
Mleta mada hukustahili kupewa nafasi UDSM hujui kutunza siri unakuja kujianika humu kuwa umepata nafasi UDSM na hujalipwa miezi mitatuKatika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs).
Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na kubakishwa kwa madhumuni hayo wanaendelea na kazi kwa miezi mitatu (3) sasa bila kupewa mikataba ya kazi wala kulipwa chochote.
Hivi, UDSM inafikiri wanaishije vijana Hawa? Mnawaingiza katika matatizo makubwa ya maisha na pia kutowalipa wala kuwapa mikataba ni ukiukwaji wa sheria ya Kazi na Mahusiano kazini.
UDSM Angalieni hili muwasaidie Hawa vijana
Hajuiq siri za ofisi ni rahisi sana kukamatwa .Mleta mada hukustahili kupewa nafasi UDSM hujui kutunza siri unakuja kujianika humu kuwa umepata nafasi UDSM na hujalipwa miezi mitatu
Anyway kama ulibebwa huyo aliyekubeba umeshamuumiza hata kama humjui yuko behind the scenes
Wabebaji muwe makini watu mnaowabeba yaweza wagharimu
Nadhani naeleweka code gani nimetumia humu kuhusiana na hili kwa wajua codes
Ila watoto wa mama wanasikitisha sana😂😂Miezi mitatu tu mnalia lia watu huku ni majobless since decades ago 😂😂
Uko sahihi sana tuIla watoto wa mama wanasikitisha sana😂😂
Akishalipwa kama kuna mkataba wa kulipana miezi yake ofis ya ajira UDSM imwambie kwa heri ya kuonana awasalimie huko aendako sababu ofisi ya UDSM haina mkataba naye wa ajira anajitolea tuWewe nakutambua vizuri na ulibakizwa kama TA 2024, kwa kuja kulalamika uongo hapa, umejiponza.
So chuo kikuu cha Dar kinafanyisha watu kazi KIHUNI? Sekta binafsi ikifanya hivo, vyombo vya kisheria vinapiga kelele, ajabu watu wazima na akili zetu kabisa tunaunga mkono jambo OVU kama hili kufanywa na taasisi ambayo ilitakiwa kua mfano wa kila kitu; poor usTatizo hamna mkataba hata wao wanaumiza kichwa mtalipwaje...vumilieni vibali vya kuajiri vikitoka mtakula shavu, maana ni scholarship after scholarship leo ulaya mwakani America halafu haya mnasahau mnaamza kututafunia vitoto vyetu vinavyotegemea boom.
Kama sio wewe pilipili usiyoila inakuwashia niniSiyo mimi, japo nimepita hapo na kuona hilo, siyo jambo jema wanalofanya
Kwanini asiache hiyo kazi akatafute yenye malipo ? Tuanzie hapo.So chuo kikuu cha Dar kinafanyisha watu kazi KIHUNI? Sekta binafsi ikifanya hivo, vyombo vya kisheria vinapiga kelele, ajabu watu wazima na akili zetu kabisa tunaunga mkono jambo OVU kama hili kufanywa na taasisi ambayo ilitakiwa kua mfano wa kila kitu; poor us
Ahahha sio haraka uhoAu kama anajiamin na GPA yake ya 4.8 aende akapambane kitaa si ata mkataba hajapewa😂😂
Ndugu Mtoa Mada,Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs).
Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na kubakishwa kwa madhumuni hayo wanaendelea na kazi kwa miezi mitatu (3) sasa bila kupewa mikataba ya kazi wala kulipwa chochote.
Hivi, UDSM inafikiri wanaishije vijana Hawa? Mnawaingiza katika matatizo makubwa ya maisha na pia kutowalipa wala kuwapa mikataba ni ukiukwaji wa sheria ya Kazi na Mahusiano kazini.
UDSM Angalieni hili muwasaidie Hawa vijana
Unaielewa hoja yangu kaka? Siwatetei waliozurumiwa, narudia tu just in case hujanielewa, "Kitendo cha kuajiri watu bila mkataba na kimefanywa na taasisi inayo heshimika kama UD ni kibaya na kashfa kubwa" uhuni kama huo ufanywe na sekta binafsi, sio taasisi za serikali na hasa chuo kikuu cha Dar, zamani UD ilijulikana kama the home of intellectuals, bahati mbaya sana sasa hvi ndio kina ongoza kutoa machawa wengi zaidi. Ujumbe wangu upo pale kwenye alama hizi " "Kwanini asiache hiyo kazi akatafute yenye malipo ? Tuanzie hapo.