Siasa ziliharibu mgawanyo chanya. Hope Mungu atatia Mkono wake.Hiyo hali ipo maeneo mengi sana... kuna vijiji Mbeya nilikuwa nguzo mwaka 2019 mpaka leo umeme bado. Hakuna transfoma wala meter
Wasubili hadi uchaguzi Mkuu 2025 labda akili zitawarudia,tukiwapekekea Sasa wanaweza wakawachagua Tena CHADEMA.Hao CDM Washaondoka, haya wapelekeeni sasa
Mbunge wa viti maalumuKumbe Kabudi Mbunge Kilosa