Aibu, Vijiji vya Maluwi na Tingida Kilosa havina Umeme tangu Tanzania tupate Uhuru

Aibu, Vijiji vya Maluwi na Tingida Kilosa havina Umeme tangu Tanzania tupate Uhuru

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
5,726
Reaction score
3,778
Habri za Mchana Wakuu,

Majuzi nilipokuwa safarini katika vijiji vya Maluwi na Tindiga vilivyopo wilayani Kilosa mkaoni Morogoro nilkuta jambo ambalo sikutegemea kulikuta.

Ni kwamba tangu tupate uhuru, vijiji hivyo havijawahi kupata umeme. Nimekuta rundo la nguzo za umeme zikiwa zimemwagwa chini kwa kipindi cha Muda mrefu sasa pasipo kutumika. Vijiji hivyo vina fursa kadhaa za kilimo na biashara.

Waziri wa nishati, tunaomba wasaidie wananchi wa vijiji hivyo, wanateseka sana.
 
Maeneo yangu sana hayoz huko kuna nazi kibao. Mwezi wa 7 nakuja kukusanya mpunga.
 
Hiyo hali ipo maeneo mengi sana... kuna vijiji Mbeya nilikuwa nguzo mwaka 2019 mpaka leo umeme bado. Hakuna transfoma wala meter
 
Hiyo hali ipo maeneo mengi sana... kuna vijiji Mbeya nilikuwa nguzo mwaka 2019 mpaka leo umeme bado. Hakuna transfoma wala meter
Siasa ziliharibu mgawanyo chanya. Hope Mungu atatia Mkono wake.

Ila tususahau kuomba kwa busara kutoka kwa viongozi wetu akiwemo Waziri husika.
 
Hata Mfuruni na Idete vilages Kilosa Chanzuru Ilonga msalabani ward nguzo zimeoza na kuchomwa moto Kampuni ya State Grid imekimbia mwaka watanobunge chadema
 
Wasubili hadi uchaguzi Mkuu 2025 labda akili zitawarudia,tukiwapekekea Sasa wanaweza wakawachagua Tena CHADEMA.
Roho mbaya haijengi, tuwasidie. wanateseka sana.
 
Back
Top Bottom