Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,778
Habri za Mchana Wakuu,
Majuzi nilipokuwa safarini katika vijiji vya Maluwi na Tindiga vilivyopo wilayani Kilosa mkaoni Morogoro nilkuta jambo ambalo sikutegemea kulikuta.
Ni kwamba tangu tupate uhuru, vijiji hivyo havijawahi kupata umeme. Nimekuta rundo la nguzo za umeme zikiwa zimemwagwa chini kwa kipindi cha Muda mrefu sasa pasipo kutumika. Vijiji hivyo vina fursa kadhaa za kilimo na biashara.
Waziri wa nishati, tunaomba wasaidie wananchi wa vijiji hivyo, wanateseka sana.