Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Aibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu sana
Njaa ni mbaya sanaHii ni aibu kuwa na viongozi wanajiita eti wa upinzani kisha wanawapinga wenzao wanao endesha harakati za maandamano ya kupinga hali ngumu ya maisha inayotokana na dira mbovu za serikali, kutaka katiba mpya na kupinga miswaada isiyo fuata mawazo ya wananchi wakati wapo Wanachama wa CCM ambao pamoja na kuwa huko wanaunga mkono ili kurekebisha mambo.
Hawa ni mzigo kwa taifa.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
baba, mama, mtoto, bubu, shemeji na mjomba wa ukoo moja hawaelewani 😀Manyumbu ni wale mnaofugwa kwenye pori la Lumumba
Unataka wafuate kila inachosema chadema kwani chadema ni mungu. Galagabaho. Kazi iendelee.Hii ni aibu kuwa na viongozi wanajiita eti wa upinzani kisha wanawapinga wenzao wanao endesha harakati za maandamano ya kupinga hali ngumu ya maisha inayotokana na dira mbovu za serikali, kutaka katiba mpya na kupinga miswaada isiyo fuata mawazo ya wananchi wakati wapo Wanachama wa CCM ambao pamoja na kuwa huko wanaunga mkono ili kurekebisha mambo.
Hawa ni mzigo kwa taifa.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mbona mligomea maandamano ya dokta slaa na mwabukusi kudai kupinga makataba wa bandar ..au mnajiona ninyi ni special sanaHii ni aibu kuwa na viongozi wanajiita eti wa upinzani kisha wanawapinga wenzao wanao endesha harakati za maandamano ya kupinga hali ngumu ya maisha inayotokana na dira mbovu za serikali, kutaka katiba mpya na kupinga miswaada isiyo fuata mawazo ya wananchi wakati wapo Wanachama wa CCM ambao pamoja na kuwa huko wanaunga mkono ili kurekebisha mambo.
Hawa ni mzigo kwa taifa.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
VYama vya Akina zito hiviHii ni aibu kuwa na viongozi wanajiita eti wa upinzani kisha wanawapinga wenzao wanao endesha harakati za maandamano ya kupinga hali ngumu ya maisha inayotokana na dira mbovu za serikali, kutaka katiba mpya na kupinga miswaada isiyo fuata mawazo ya wananchi wakati wapo Wanachama wa CCM ambao pamoja na kuwa huko wanaunga mkono ili kurekebisha mambo.
Hawa ni mzigo kwa taifa.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Uvcccm tuko nao,Bega kwa Bega,unyayo kwa unyao,mguu kwa mguu,mamluki unaa umewajaa tuu🤣Hii ni aibu kuwa na viongozi wanajiita eti wa upinzani kisha wanawapinga wenzao wanao endesha harakati za maandamano ya kupinga hali ngumu ya maisha inayotokana na dira mbovu za serikali, kutaka katiba mpya na kupinga miswaada isiyo fuata mawazo ya wananchi wakati wapo Wanachama wa CCM ambao pamoja na kuwa huko wanaunga mkono ili kurekebisha mambo.
Hawa ni mzigo kwa taifa.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hata mimi ni CCM na naunga mkono maandamano ya Chadema na mkipata kipigo ntaunga mkono poa! Ahahahahaha!!!Hii ni aibu kuwa na viongozi wanajiita eti wa upinzani kisha wanawapinga wenzao wanao endesha harakati za maandamano ya kupinga hali ngumu ya maisha inayotokana na dira mbovu za serikali, kutaka katiba mpya na kupinga miswaada isiyo fuata mawazo ya wananchi wakati wapo Wanachama wa CCM ambao pamoja na kuwa huko wanaunga mkono ili kurekebisha mambo.
Hawa ni mzigo kwa taifa.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hamna vyama hapo ni Wachumia tumbo.Hii ni aibu kuwa na viongozi wanajiita eti wa upinzani kisha wanawapinga wenzao wanao endesha harakati za maandamano ya kupinga hali ngumu ya maisha inayotokana na dira mbovu za serikali, kutaka katiba mpya na kupinga miswaada isiyo fuata mawazo ya wananchi wakati wapo Wanachama wa CCM ambao pamoja na kuwa huko wanaunga mkono ili kurekebisha mambo.
Hawa ni mzigo kwa taifa.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app