Pre GE2025 Aibu vyama mamluki kugomea Maandamano wakati wapo CCM waungao mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vyama hivyo kusema awataki kushiriki maandamano ni haki yao. Kuna misimamo ambayo vyama hivyo uleta na kushawishi vyama kama CHADEMA kushiriki maandamano lakini CHADEMA ukataa kushiriki. KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE
 
Hivi vyama ni vyama vya kwenye makaratasi kwa msaada wa CCM!
Havina wanachama kabisa zaidi ya wale wa kugushi wanaonekana ktk fomu zao!
Havina mbele wala nyuma!
Vinaishi kwa hisani ya CCM!
Hata wanayoongea ni maelekezo ya CCM kwani vyenyewe vipo ICU
 
Hii ni aibu kuwa na viongozi wanajiita eti wa upinzani kisha wanawapinga wenzao wanao endesha harakati za maandamano ya kupinga hali ngumu ya maisha inayotokana na dira mbovu za serikali, kutaka katiba mpya na kupinga miswaada isiyo fuata mawazo ya wananchi wakati wapo Wanachama wa CCM ambao pamoja na kuwa huko wanaunga mkono ili kurekebisha mambo.
Hawa ni mzigo kwa taifa.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Njaa ni mbaya sana
 
Unataka wafuate kila inachosema chadema kwani chadema ni mungu. Galagabaho. Kazi iendelee.
 
Hii ni aibu kuwa na viongozi wanajiita eti wa upinzani kisha wanawapinga wenzao wanao endesha harakati za maandamano ya kupinga hali ngumu ya maisha inayotokana na dira mbovu za serikali, kutaka katiba mpya na kupinga miswaada isiyo fuata mawazo ya wananchi wakati wapo Wanachama wa CCM ambao pamoja na kuwa huko wanaunga mkono ili kurekebisha mambo.
Hawa ni mzigo kwa taifa.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mbona mligomea maandamano ya dokta slaa na mwabukusi kudai kupinga makataba wa bandar ..au mnajiona ninyi ni special sana
 
Vyama pinzani vilivyokataa kuunga mkono vina hoja ya msingi, tufukiri kabla ya hapa chadema ilipofikia iliwahi kuvishirikisha hivyo vyama?, Mbowe katika yale maridhiano ya mchongo na tamaa zake alivishirikisha?. Vyama hivyo haviwezi kuwa watumikaji kwa dhamira ya faida ya upande mmoja, Mbowe na timu yake walishakosea toka mwanzo ndio maana hata haya maandamano hayajulikani popote zaidi ya jf tu. Mbowe amekuwa kigeugeu sana, ana ujanjaujanja mwingi wenye viashiria vya tamaa za fedha kuliko kuongoza taasisi ikue na ishike Dora!.
Mbowe apeleke familia yake na vijana wake wakaandamane, Kama chadema itaitisha maandano mengine basi anayepaswa kutoa tamko Hilo na watu tukamuelewa ni Tundu Lissu au Heche hawa kina mnyika wwnatumika na hawana sauti ya kuongoza watu tena kwenye mapambano ya kudai haki. Huwezi kuww mpigania haki afu ukawa mtu ww ndimi mbili....

#Mbowe anapaswa aachie chama.
 
Kipindi kile mmekaa kimya wakati tukiugulia maumivu ya ugumu wa maisha wakati nyie mnachekelea maridhiano,

Sasa mmetoswa mnaanza kuja na ngonjera za maandamano.

Bakini na maandamano yenu au mrudi kwenye maridhiano.
 
Hii ni aibu kuwa na viongozi wanajiita eti wa upinzani kisha wanawapinga wenzao wanao endesha harakati za maandamano ya kupinga hali ngumu ya maisha inayotokana na dira mbovu za serikali, kutaka katiba mpya na kupinga miswaada isiyo fuata mawazo ya wananchi wakati wapo Wanachama wa CCM ambao pamoja na kuwa huko wanaunga mkono ili kurekebisha mambo.
Hawa ni mzigo kwa taifa.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
VYama vya Akina zito hivi
 
Uvcccm tuko nao,Bega kwa Bega,unyayo kwa unyao,mguu kwa mguu,mamluki unaa umewajaa tuu🤣
 
Hii ni aibu kuwa na viongozi wanajiita eti wa upinzani kisha wanawapinga wenzao wanao endesha harakati za maandamano ya kupinga hali ngumu ya maisha inayotokana na dira mbovu za serikali, kutaka katiba mpya na kupinga miswaada isiyo fuata mawazo ya wananchi wakati wapo Wanachama wa CCM ambao pamoja na kuwa huko wanaunga mkono ili kurekebisha mambo.
Hawa ni mzigo kwa taifa.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hata mimi ni CCM na naunga mkono maandamano ya Chadema na mkipata kipigo ntaunga mkono poa! Ahahahahaha!!!
 
Hii ni aibu kuwa na viongozi wanajiita eti wa upinzani kisha wanawapinga wenzao wanao endesha harakati za maandamano ya kupinga hali ngumu ya maisha inayotokana na dira mbovu za serikali, kutaka katiba mpya na kupinga miswaada isiyo fuata mawazo ya wananchi wakati wapo Wanachama wa CCM ambao pamoja na kuwa huko wanaunga mkono ili kurekebisha mambo.
Hawa ni mzigo kwa taifa.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hamna vyama hapo ni Wachumia tumbo.
Hawana hata ofisi wala dawati!

Achilia mbali wanachama ambapo ukiwauliza wakupe utashangaa ni Jina Chama na viongozi wanne.!!
 
Back
Top Bottom