Aibu: Vyombo vya Habari nchini kwa makusudi vyapotosha alichokisema Dkt. Slaa kwenye Mkutano wake na Waandishi wa Habari

Msigwa amehariri hizo taarifa kabla ya kwenda Public
 
Vyombo gan vya habar unavizungumzia? Uchawa ndio agenda.
 
Kwani hawawezi shitakiwa ili ili uwe fundisho wanasheria mawakili waungane wawabuluze
 
Kipindi cha JPM alikuwa hawahongi hawa ndio maana walikuwa kinyume chake kwa sababu binafsi. Wahariri ni wala rushwa wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…