AIBU: Wachungaji KKKT wampinga Dk Shoo

wote mpo fungu moja wala msichekane, mnatakiwa kuokoka mnapoteza sana muda na hayo makatekisimo yenu. mnaabudu dini, mnatakiwa muokoke mmmwabudu Mungu katika Roho na kweli.
 
Mwaikali amewachokoza wanyakyusa hilo bifu haliishi hadi atumbuliwe au ajiuzulu.
Ameingia chakike.
Amewakosea sana waumini wote wa Mbeya.Kitendo tu msaidizi wake kutokukubali huo uhuni alipaswa kujiuliza.
 
Kanisa likijaa wachaga jua kifuatacho ITV ni upigani na maslahi kwenda mbele..wachaga dini yao kuu ni Pesa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kanisa likijaa wachaga jua kifuatacho ITV ni upigani na maslahi kwenda mbele..wachaga dini yao kuu ni Pesa.

#MaendeleoHayanaChama

Wachagga Ndio wenye imani Sasa wengine wanategemea tunguri Kanisani au msikitini
 
Muundo wa utawala ni yeye Mwaikali kakiuka.
Jibu ni;
Jina la Dayosisi KKKT-KONDE.
Makao makuu TUKUYU.
Kiti cha kiuaskofu- TUKUYU CATHEDRAL.
Umiliki wa kiwanja cha Makao makuu-Tukuyu.
Umiliki wa kilipo kiti cha Uaskofu ni ni Tukuyu.

Anaposimikwa alikabidhiwa hiyo katiba inayomwelekeza makao yalipo,akapewa na HATI MAALUM.

Ni hekima tu kaitumia mkuu wa kanisa kusema hivi.
"KITI CHA UASKOFU WA MWAIKALI KIRUDI TUKUYU"
Maana yake kama hataki anatakiwa kujiuzuru au kubaki mbeya mjini kusiko na
KITI CHA UASKOFU usiokuwa na hati.
KITI CHA UASKOFU wa hati maalumu wa Mwaikali kipo TUKUYU.
Kauli ya mkuu wa kanisa asipoitii waumini wanahaki yakumshitaki kwa uhaini.Pia amekosa sifa yakuwa mdhamini wa Dayosisi..
 
kwani, si muachane na hilo kanisa mwende makanisa mengine, lazima msali hapo? au dhehebu litawapeleka mbinguni.
 
RC waumini wake ni ndio mzee, kwahiyo kukuta migogoro hadharani ni nadra sana
 
Njombe ...
 
kwani, si muachane na hilo kanisa mwende makanisa mengine, lazima msali hapo? au dhehebu litawapeleka mbinguni.
Kanisa ni la Mungu
Dini ni za wanadamu
Wanatetea kanisa la Mungu,ndio maana ya
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania.K.K.K.T

Askofu hana umiliki
 
RC waumini wake ni ndio mzee, kwahiyo kukuta migogoro hadharani ni nadra sana
nimesema ninyi nyote mmepotea, bado mnaabudu dini kuliko Mungu,okokeni mmwabudu Mungu katika Roho na kweli. huko RC si juzi hapa wametaka kuchoma kanisa songea? ninyi huwa mnahukumu watu hapahapa duniani, asiyehudhuria vizuri kanisani hamumziki kabisa kabisa ndio maana mapadre kwenu ninyi ni miungu watu kwasabbu huwa mnaogopwa mtazikwa na nani na wao wamewashika masikio hapo mnawaabudu. msiwacheke wenzenu.
 
Ni aibu sana Kanisani kuwa na mambo haya ya kugombana na kubishana
 
Kanisa limevamiwa na watu wasiomjua wala kumwogopa Mungu. Roho Mtakatifu aliishaondoka kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…