AIBU: Wachungaji KKKT wampinga Dk Shoo

AIBU: Wachungaji KKKT wampinga Dk Shoo

Ulitaka hiyo migogoro iwe kwenye nini labda?
Kama wachungaji wana roho za kishetani utakuja kusaidia nini Kondoo.

Tamaa ya mali na madaraka imaliharibu hili kanisa limekuwa pango la wanyanganyi, muwe na aibu hata kidogo sasa mnamwakilisha Mungu yupi sasa, Wamafarakano hopeless kabisa halafu anajitoka mtu kama huyu anatetea ujinga jinga kabisa.
 
Unataka achaguliwe vipi? Embu eleza. Wakati huo huo useme hapa ni wapi upigaji wa kura ulikatazwa kwenye Bible
Wapi kwenye bible unaruhusu kuwa viongozi wa dini wachaguliwe kwa kura,
 
wote mpo fungu moja wala msichekane, mnatakiwa kuokoka mnapoteza sana muda na hayo makatekisimo yenu. mnaabudu dini, mnatakiwa muokoke mmmwabudu Mungu katika Roho na kweli.
tafadhali usichonganishe kanisa na mkuu wetu.sio kila kitu uposti mbona hayo hayapo huku
 
Back
Top Bottom