Kama wachungaji wana roho za kishetani utakuja kusaidia nini Kondoo.
Tamaa ya mali na madaraka imaliharibu hili kanisa limekuwa pango la wanyanganyi, muwe na aibu hata kidogo sasa mnamwakilisha Mungu yupi sasa, Wamafarakano hopeless kabisa halafu anajitoka mtu kama huyu anatetea ujinga jinga kabisa.
wote mpo fungu moja wala msichekane, mnatakiwa kuokoka mnapoteza sana muda na hayo makatekisimo yenu. mnaabudu dini, mnatakiwa muokoke mmmwabudu Mungu katika Roho na kweli.