Aibu: Wenje ashindwa kujibu maswali kuntu aishia kujibu blah-blah

Aibu: Wenje ashindwa kujibu maswali kuntu aishia kujibu blah-blah

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.

Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi?

Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu hizo pesa ilhali mwenye maamuzi ya pesa ni SG wa Chama Mnyika?

Kaishia kujibu hata yeye haelewi.
 
Huyu namjuwa tokea yuko baclays bank kwenye siasa hajaingia...
Siku zote huwa nawaambia watu ukishamjuwa mtu wala hupati tabu!😄
Any way huko kwenye siasa ndiyo
Kumemfaa zaidi lakini

Ova
Mjanja mjanja na mtu wa fursa.

Ki fupi, hana tofauti na Tapeli.
 
Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.
Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi?
Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu hizo pesa ilhali mwenye maamuzi ya pesa ni SG wa Chama Mnyika?
Kaishia kujibu hata yeye haelewi.
Mimi nauliza, kwa nini Team Lissu waliokuwemo katika Kamati Kuu walikuwa wanakimbia nchi na kumuacha Mbowe?
 
Hapo kajibu kisiasa na hiyo ndiyo siasa bora ila mwaka huu ndiyo ulikua mwaka wa kuitoa CCM Madarakani . Lakini hakika na waambieni CCM lazima ishinde kirahisi sana maana chadema imeshapasuka hakuna tena ule uumoja na nguvu ya kuitikisa CCM. Na kama TAL kweli alikua na nia alitakiwa aanzishe chama chake haraka na siyo kuchuana na Mbowe. Mtu mwenye akili timamu hawezi chagua boma ambalo anaona kabisa halieleweki wala hawaelewani wao kwa wao ili hilo boma likawe msimamizi au msemaji wao katika mambo nyeti.

Nb. Wakubwa watanielewa ila vijana wa hovyo watabeza. CCM lazima ishinde kirahisi sana bila changamoto yeyote ile maana chadema ukiizoom unaona kabisa hakuna mtu wa kumpa hii inchi aiongoze.
 
Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.

Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi?

Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu hizo pesa ilhali mwenye maamuzi ya pesa ni SG wa Chama Mnyika?

Kaishia kujibu hata yeye haelewi.
kumbe walioshindwa uongozi chadema ndio wanaitwa viongozi waandamizi wa chadema na ndiyo wanao muunga mkono kibaraka? :pedroP:
 
Huyu namjuwa tokea yuko baclays bank kwenye siasa hajaingia...
Siku zote huwa nawaambia watu ukishamjuwa mtu wala hupati tabu!😄
Any way huko kwenye siasa ndiyo
Kumemfaa zaidi lakini

Ova
nilikua nae hapo bank nikiwa hapo alpha house karibu na makao makuu ya voda sasa hivi,,
for sure aliacha kazi waziwazi kwa kujiamini sana na akaaga kwenda kugombea ubunge nyamagana na akapata.

jamaa hadi kuvaa alikua bado hajui,
uthubutu ni jambo muhimu sana kuelekea mafanikio:HAhaa:

amejibu vizuri sana kuhusu viongozi waandamizi wa chadema wanaomuunga mkono kibaraka:pedroP:
 
Back
Top Bottom