Aibu: Wenje ashindwa kujibu maswali kuntu aishia kujibu blah-blah

Aibu: Wenje ashindwa kujibu maswali kuntu aishia kujibu blah-blah

nilikua nae hapo bank nikiwa hapo alpha house karibu na makao makuu ya voda sasa hivi,,
for sure aliacha kazi waziwazi kwa kujiamini sana na akaaga kwenda kugombea ubunge nyamagana na akapata.

jamaa hadi kuvaa alikua bado hajui,
uthubutu ni jambo muhimu sana kuelekea mafanikio:HAhaa:

amejibu vizuri sana kuhusu viongozi waandamizi wa chadema wanaomuunga mkono kibaraka:pedroP:
Ila kwenye siasa huko kumemfaa 😄
Anyway siasa ndizo zilivyo

Ova
 
Ila kwenye siasa huko kumemfaa 😄
Anyway siasa ndizo zilivyo

Ova
hata bank alikua mzuri mno kichwani,
stephen masele alikua na aibu sana kazini, sikujuaga aliondokaje baclays but nae aliendaga kushinda uchaguzi shinyanga :pedroP:
 
Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.

Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi?

Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu hizo pesa ilhali mwenye maamuzi ya pesa ni SG wa Chama Mnyika?

Kaishia kujibu hata yeye haelewi.
Jamaa ana uwezo mdogo Sana wa KUJENGA hojaa na hata mwanza ubunge nyamagana enzi zile LAWRENCE MASHA

WENJE Alimshinda Masha sababu Wana nyamagana walikua wamemchoka.....na Masha alikua na kiburi,dharau, ubabe, Majibu ya OVYO/kunya...kwenye kampeni za Masha kulikua na karandinga ukimuuliza swali mfano aliulizwa BARABARA FULANI MBONA HAITENGENEZWI/ KUJENGWA

MASHA ANAMJIBU MPIGAKURA"" HAUNA HATA GARI WALA PIKIPIKI UNATAKA BARABARA YA NINI? WENGINE WALILAZWA LOCK UP SO IKAPELEKEA VIJANA KUANZISHA VUGUVUGU LA KUMUONDOSHA

Ila WENJE hanaga hoja mjaluo yule na hata dogo PAMBALU alifanyiwa figisu na PESA za mama abduli mpaka akajitoa kugombea uenyekiti wa Kanda ya Victoria
 
Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.

Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi?

Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu hizo pesa ilhali mwenye maamuzi ya pesa ni SG wa Chama Mnyika?

Kaishia kujibu hata yeye haelewi.
Sasa ulichoandika na video hakuna hata kimoja kinachowiana. 😂😂😂
 
Zamani walikuwa wanalipwa buku saba kushinda na kukesha humu JF kusema uongo, kuzusha, kupindisha ukweli na kuishambulia CHADEMA.

Hivi siku hizi Team Lumumba wanalipwa shilingi ngapi kwa siku?
 
Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.

Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi?

Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu hizo pesa ilhali mwenye maamuzi ya pesa ni SG wa Chama Mnyika?

Kaishia kujibu hata yeye haelewi.
Wenje alishapaniki, Muda umewakataa yeye na huyo Sultani Mbowe
 
Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.

Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi?

Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu hizo pesa ilhali mwenye maamuzi ya pesa ni SG wa Chama Mnyika?

Kaishia kujibu hata yeye haelewi.
Kuna njia tatu za kujibu swali/ maswali ukiulizwa..

1. Njia ya swali kwa swali...yaani unaulizwa swali na wewe unauliza swali.

2. Njia Swali kwa mkato..yaani unaulizwa swali wewe unajibu kwa kifupi/ mkato/ shortcuts

3. Njia ya swali kwa maelezo yaani unaulizwa swali Unatoa maelezo/ maelezo yaani yanaweza kueleweka au kuto elewekaa

WENJE maswali MAGUMU MAGUMU aliyo ulizwa kaishia kutoa maelezo out of point 👉 kajivua nguo gulioni.
 
Hapo kajibu kisiasa na hiyo ndiyo siasa bora ila mwaka huu ndiyo ulikua mwaka wa kuitoa CCM Madarakani . Lakini hakika na waambieni CCM lazima ishinde kirahisi sana maana chadema imeshapasuka hakuna tena ule uumoja na nguvu ya kuitikisa CCM. Na kama TAL kweli alikua na nia alitakiwa aanzishe chama chake haraka na siyo kuchuana na Mbowe. Mtu mwenye akili timamu hawezi chagua boma ambalo anaona kabisa halieleweki wala hawaelewani wao kwa wao ili hilo boma likawe msimamizi au msemaji wao katika mambo nyeti.

Nb. Wakubwa watanielewa ila vijana wa hovyo watabeza. CCM lazima ishinde kirahisi sana bila changamoto yeyote ile maana chadema ukiizoom unaona kabisa hakuna mtu wa kumpa hii inchi aiongoze.
kuanzisha chama sawa,kukisajiri miaka mitano na usajiri wa muda ukizingua unafutiwa
 
Jamaa alikuwa kama comedy kwenye press yake, bahati nzuri kulikuwa na wahandishi wa habari smart sana maswali kashindwa kujibu yote.
 
Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.

Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi?

Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu hizo pesa ilhali mwenye maamuzi ya pesa ni SG wa Chama Mnyika?

Kaishia kujibu hata yeye haelewi.
Timely cutout...
 
Acheni kupotosha. Amesema lengo la Join the Chain ilikuwa ni kuandaa Mkutano Mkuu. Lengo la Mkutano Mkuu ilikuwa kupata Mwenyekiti mpya kwa sababu hawakuwa na imani Mbowe angeshinda kesi yake. Hilo la kuchagua Mwenyekiti mpya ndio aliona ni uasi. Amesema Mwenyekiti wa Join the Chain alikuwa Lema. SG ni accounting officer lakini uamuzi wa matumizi ya pesa unafanywa na Mwenyekiti baada ya kuwasiliana na Kamati Kuu. Kwa vile wakati huo Makamu Mwenyekiti alikuwa ana kaimu ofisi ya Mwenyekiti angeweza kuidhinisha matumizi yake hasa ukizingatia "waasi" walikuwa sehemu ya Kamati Kuu.

Amandla...
 
Back
Top Bottom