Ila kwenye siasa huko kumemfaa πnilikua nae hapo bank nikiwa hapo alpha house karibu na makao makuu ya voda sasa hivi,,
for sure aliacha kazi waziwazi kwa kujiamini sana na akaaga kwenda kugombea ubunge nyamagana na akapata.
jamaa hadi kuvaa alikua bado hajui,
uthubutu ni jambo muhimu sana kuelekea mafanikio
amejibu vizuri sana kuhusu viongozi waandamizi wa chadema wanaomuunga mkono kibaraka
hata bank alikua mzuri mno kichwani,Ila kwenye siasa huko kumemfaa π
Anyway siasa ndizo zilivyo
Ova
ANAPUYANGA TU HUYU WENJE NA KUTUPOTEZEA MB Zetu, Shenzi sana.Hata anayoongea tu unaona hili ni kichwa tupu
Jamaa ana uwezo mdogo Sana wa KUJENGA hojaa na hata mwanza ubunge nyamagana enzi zile LAWRENCE MASHAKatoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.
Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi?
Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu hizo pesa ilhali mwenye maamuzi ya pesa ni SG wa Chama Mnyika?
Kaishia kujibu hata yeye haelewi.
Nkionana na masele ntamuliza πhata bank alikua mzuri mno kichwani,
stephen masele alikua na aibu sana kazini, sikujuaga aliondokaje baclays but nae aliendaga kushinda uchaguzi shinyanga
Yes,Nkionana na masele ntamuliza π
Gentleman
Ova
AiseYes,
muulize tu pale baclays,
boss mtoto alikua mkaksi kiasi gani kwa staff, anaweza kunikumbuka
Sasa ulichoandika na video hakuna hata kimoja kinachowiana. πππKatoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.
Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi?
Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu hizo pesa ilhali mwenye maamuzi ya pesa ni SG wa Chama Mnyika?
Kaishia kujibu hata yeye haelewi.
Wenje alishapaniki, Muda umewakataa yeye na huyo Sultani MboweKatoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.
Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi?
Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu hizo pesa ilhali mwenye maamuzi ya pesa ni SG wa Chama Mnyika?
Kaishia kujibu hata yeye haelewi.
Kuna njia tatu za kujibu swali/ maswali ukiulizwa..Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.
Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi?
Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu hizo pesa ilhali mwenye maamuzi ya pesa ni SG wa Chama Mnyika?
Kaishia kujibu hata yeye haelewi.
kuanzisha chama sawa,kukisajiri miaka mitano na usajiri wa muda ukizingua unafutiwaHapo kajibu kisiasa na hiyo ndiyo siasa bora ila mwaka huu ndiyo ulikua mwaka wa kuitoa CCM Madarakani . Lakini hakika na waambieni CCM lazima ishinde kirahisi sana maana chadema imeshapasuka hakuna tena ule uumoja na nguvu ya kuitikisa CCM. Na kama TAL kweli alikua na nia alitakiwa aanzishe chama chake haraka na siyo kuchuana na Mbowe. Mtu mwenye akili timamu hawezi chagua boma ambalo anaona kabisa halieleweki wala hawaelewani wao kwa wao ili hilo boma likawe msimamizi au msemaji wao katika mambo nyeti.
Nb. Wakubwa watanielewa ila vijana wa hovyo watabeza. CCM lazima ishinde kirahisi sana bila changamoto yeyote ile maana chadema ukiizoom unaona kabisa hakuna mtu wa kumpa hii inchi aiongoze.
Timely cutout...Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.
Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi?
Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu hizo pesa ilhali mwenye maamuzi ya pesa ni SG wa Chama Mnyika?
Kaishia kujibu hata yeye haelewi.
Wewe hufuatilii siasa nadhani..Huyo mbowe mwenyewe alikimbia nchi.Mimi nauliza, kwa nini Team Lissu waliokuwemo katika Kamati Kuu walikuwa wanakimbia nchi na kumuacha Mbowe?
Acheni kupotosha. Amesema lengo la Join the Chain ilikuwa ni kuandaa Mkutano Mkuu. Lengo la Mkutano Mkuu ilikuwa kupata Mwenyekiti mpya kwa sababu hawakuwa na imani Mbowe angeshinda kesi yake. Hilo la kuchagua Mwenyekiti mpya ndio aliona ni uasi. Amesema Mwenyekiti wa Join the Chain alikuwa Lema. SG ni accounting officer lakini uamuzi wa matumizi ya pesa unafanywa na Mwenyekiti baada ya kuwasiliana na Kamati Kuu. Kwa vile wakati huo Makamu Mwenyekiti alikuwa ana kaimu ofisi ya Mwenyekiti angeweza kuidhinisha matumizi yake hasa ukizingatia "waasi" walikuwa sehemu ya Kamati Kuu.Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.