Mkuu, inawezekana alikunywa ili aondoe nishai ya kukutana na mvulana. Si mara ya kwanza. Mpe second chance uzidi ona vimbwanga vyake.
mmmh... Kulewa kiasi cha kuzomewa??? Mlikutana ktk mazingira gani kwan mpk ukaamua awe 'beibe' wako..loh..poleee...
Kiongozi huyu binti anajiheshimu sana mpaka ss hv sielewi hata ni nn!sikujua kama ndo yupo hivi! Me na pombe mbali mbali!!!
Ku pretend imo..huyoo sio mstaarabu wala nn. Hukumjua tabia yake tu kwa bahat mbaya...