cement
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 581
- 218
Wakuu heshima mbele
Leo ingekuwa mara yangu ya kwanza ku date nae lkn amekuja anayumbaa yumba watu wamenishanga kweli nimepata aibu ya mwaka .kifupi huyu binti nilikuwa namuona mstaarabu sana leo kanipigia toka mchana kuwa ntakuja nikusalie jioni nikamjibu karibu,ss imefika jioni kaniambia ndo anatoka kwao imenishtua kachelewa sana kufika mpaka mida ya saa mbili ndo kaja anayumba njia nzima watoto wa mtaani wanamshangilia kwa nyuma ile nafungua mlango kuangalia ndo yy nimeshtuka sana nimemlaza sebuleni apate upepo na akili na baada ya hapo achape lapa tu me cwezi