Aibu ya Mwaka Mpenzi wangu kaja amelewa hajitambui!!!!!

Aibu ya Mwaka Mpenzi wangu kaja amelewa hajitambui!!!!!

cement

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
581
Reaction score
218
Wakuu heshima mbele
Leo ingekuwa mara yangu ya kwanza ku date nae lkn amekuja anayumbaa yumba watu wamenishanga kweli nimepata aibu ya mwaka .kifupi huyu binti nilikuwa namuona mstaarabu sana leo kanipigia toka mchana kuwa ntakuja nikusalie jioni nikamjibu karibu,ss imefika jioni kaniambia ndo anatoka kwao imenishtua kachelewa sana kufika mpaka mida ya saa mbili ndo kaja anayumba njia nzima watoto wa mtaani wanamshangilia kwa nyuma ile nafungua mlango kuangalia ndo yy nimeshtuka sana nimemlaza sebuleni apate upepo na akili na baada ya hapo achape lapa tu me cwezi
 
Mkuu, inawezekana alikunywa ili aondoe nishai ya kukutana na mvulana. Si mara ya kwanza. Mpe second chance uzidi ona vimbwanga vyake.
 
  • Thanks
Reactions: Taz
mmmh... Kulewa kiasi cha kuzomewa??? Mlikutana ktk mazingira gani kwan mpk ukaamua awe 'beibe' wako..loh..poleee...
 
Ah wewe,kwani huwezi kumbadilisha wote mkimkimbia itakuwaje?be responsible and a man enough to deal with this,love changes everything,love never fails,
 
Ana aibu sana huyo, kanywa kuondoa aibu, ila jijue, sura lako bovu kinoma
 
Mkuu, inawezekana alikunywa ili aondoe nishai ya kukutana na mvulana. Si mara ya kwanza. Mpe second chance uzidi ona vimbwanga vyake.

Yaani nimechoka ni mara ya kwanza na hapa hakuna hata nafasi ya pili nasubili akae fresh aondoke tu maana harufu nayoisikia humu ndani ni aibu kwa kweli
 
mmmh... Kulewa kiasi cha kuzomewa??? Mlikutana ktk mazingira gani kwan mpk ukaamua awe 'beibe' wako..loh..poleee...

Kiongozi huyu binti anajiheshimu sana mpaka ss hv sielewi hata ni nn!sikujua kama ndo yupo hivi! Me na pombe mbali mbali!!!
 
Ndio ukubwa huo......wengine hapa wanajing'ata kidole...Wanasema "ningekuwa mimi"
 
Kiongozi huyu binti anajiheshimu sana mpaka ss hv sielewi hata ni nn!sikujua kama ndo yupo hivi! Me na pombe mbali mbali!!!

Ku pretend imo..huyoo sio mstaarabu wala nn. Hukumjua tabia yake tu kwa bahat mbaya...
 
give her a self golden chance, sio mbaya kumpotezea na ushasema mstaarabu na anaheshima basi kama ni mstaarabu ukimwambia aache kunywa pombe atakusikiliza na ataacha kabisa
 
Ku pretend imo..huyoo sio mstaarabu wala nn. Hukumjua tabia yake tu kwa bahat mbaya...

how sure you are? Inawezekana alipiga pombe kutoa nishai na pombe sio chai ndio zikamzidia ampe nafasi nyingine na amwambie kabisa kua yeye na pombe ni tofauti
 
Hahahahahahah,

Wajukuu na vituko bwana...Huwa hawaishi kunishangaza..!!

Nilikuwa na binti mlevi kama wale wadudu wanaoishi kwenye mapipa ya mbege....Ila kwa muda mfupi tu, alikuwa amebadilika na kuwa kama Mama Theresa.... Kwa sasa nasikia ni kiongozi mkubwa sana katika kanisa la wokovu!!

Babu DC!!
 
Wee Kaunga, mbona naskia ni wifi yako.

Kwanza mmeo hajambo?

Bahati nzuri sina wifi, niña mashemeji tu; mwaya mume wangu hata sijui hali yake, maana siku ya pili leo si salamu wala hela ya matumizi sijapata!
 
Last edited by a moderator:
Hebu tuwekee picha si ajabu ndiyo yule niliyemwona mahala muda ule!
 
Back
Top Bottom